Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

Watz acheni kulalamika mnapata hela za kuhonga michipuko na kulealwa bar then mnalalamika kupanda kwa unga it doesn't make sense

Wangapi wanalewa na kuhonga? Wazazi wao hawa wamo?

FB_IMG_1577871864627.jpg
 
Daah, Kwa haya MAHELAAA lazima JIZI KIKWETE LIFURUKUTE na KUFOKA.

MAHELA MENGI KWELI KWELII, PENSION, MARUPURUPU, NYUMBA BURE, GARI BURE!!

UKIJUMLISHA NA MAHELA ALIYOTUIBIA AKIWA RAIS!

NA MIGODI ALIYOIPORA, NA MADINII, NA PEMBE ZA NDOVUU ALIZOJITWALIAAA!!!

JAMENIIII, THE TRILLIONAIREE!!!
Babaako nae angejiunga tanu youth league Kisha CCM,na Kama angekuwa kaelimika walau kidogo,basi angepata nafasi za juu na mishahara Kama kikwete aliyopata,Ila mzee wako ngumbaru na we mwenyewe ngumbaru
 
Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao.

'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa kweli

'..eeeh unajua wakati mwingine offcourse ndio unasema adui yako muombee njaa wale wasiombea heri Serikali wanadhani lakini wakati mwingine ni lazima wawe wakweli tu haya mazingira wangekuwa wao ndio wako kwenye uongozi wana majawabu gani ndio bei ya mafuta ingeshuka? Bei ya mafuta imepanda Uingereza penyewe'

W
IMG_8397.jpg
 
MI sijaona la maana lililosemwa..!!! Wala sijaona unafiki wa watu hapo..!! Yaani kipimo cha kuwa wangekuwa kwenye nafasi za uongozi hao wanaolalamika wasingeweza kushusha bei ni unafiki wenyewe..!!
 
Kuna wastaafu wanawashwa washwa - Jiwe Kiongozi wa Malaika
Huyo anakula mshahara 80% wa Rais aliye madarakani. Huyu anaweza kuyafahamu mateso tunayopitia wananchi wa daraja la chini????
Zifahamu benefits za Rais mstaafu wa JMT kwa mujibu wa Political Service Retirement Benefit Act, 1999.

On retirement the president is entitled to the following benefits under this law.

To begin with he shall be entitled to annual pension that will be payable to him every month at the rate of 80% of the incumbent president.

He will also be entitled to a gratuity the amount of which is 50% of the total salaries received when in office as a president.

He: is also entitled-to winding up allowance the amount of which is the total salaries accorded to the incumbent president for 24 months.

Other benefits include the diplomatic passport, for him and the spouse, Health insurance for treatment in the United Republic of Tanzania, the service of two vehicles availed to him by the government, a full furnished house with not less than four rooms (self contained) together with the servant quarter.

Maintenance allowance for every month the amount of which shall be equal to 80%, of the salary of the incumbent president. He shall also be entitled to security services to him and his family, one personal assistant, one personal secretary, office attendant, one cook, one laundry man, one laundry man, domestic servant, one gardener, two drivers and he will also be entitled to use the VIP lounge.

If the president dies while in power or after retirement but before - receiving his benefits the dependants shall be entitled to a gratuity the amount of which is equal to the total of all salaries which were received by the president while in power.[2] Again where a retired president dies the widow shall be entitled to a pension of 25% of the salary of the incumbent president.
 
Watz acheni kulalamika mnapata hela za kuhonga michipuko na kulealwa bar then mnalalamika kupanda kwa unga it doesn't make sense

Shida yetu watanzania hatuna umoja. Hali Ni ngumu pesa Hakuna, ila anaibuka mtu na kutoa kebehi kwa watanzania kana kwamba kila mmoja anaingiza milioni kwa siku. Tuongee Lugha moja.
 
Yeye na familia na jamaa zake kamwe
Gharama ya vitu kupanda haiwawezi waathiri?

Ova
 
Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao.

'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa kweli

'..eeeh unajua wakati mwingine offcourse ndio unasema adui yako muombee njaa wale wasiombea heri Serikali wanadhani lakini wakati mwingine ni lazima wawe wakweli tu haya mazingira wangekuwa wao ndio wako kwenye uongozi wana majawabu gani ndio bei ya mafuta ingeshuka? Bei ya mafuta imepanda Uingereza penyewe'
Kinamuwasha kitu gani mtawala kukosolewa? Kani yeye ndio rais kwa sasa anajitokeza kufokea wananchi wanaolalamika?

Huyu anatakiwa akae kimya kabisa asije akapandisha hasira za wananchi bure na akaathirika kwa matendo yao.
 
Back
Top Bottom