Waziri mwakyembe PhD yake haimsaidii kabisa. Au ndiyo wale walioondoa ujinga bila kupata maarifa?Naona kuna mvutano wa chini chini kati ya TFF na Waziri,yetu macho na wanaoumia ni akina Kilomoni wanaotumika
Kwa hiyo Simba ndio ujinga wenyewe?Unataka kusema kabla ya mo kuwekeza, simba ilikuwa haiteteleki. Husifananishe arsenal na ujinga ulioko huku kwetu
Kuna makuandi matatu ktk hili swala kundi 1 wao wanaongalia furaha ya vikombe tu awataki kujua chochote 2 wale waliokuwa wananufaika na Simba kabla ya uwekezaji 3 masilahi ya mwekezaji na biasharaKutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
Kwa hiyo Simba ndio ujinga wenyewe?Unataka kusema kabla ya mo kuwekeza, simba ilikuwa haiteteleki. Husifananishe arsenal na ujinga ulioko huku kwetu
Kwa hiyo Simba ndio ujinga wenyewe? AiseeUnataka kusema kabla ya mo kuwekeza, simba ilikuwa haiteteleki. Husifananishe arsenal na ujinga ulioko huku kwetu
WanaYanga kamtoeni mzee wenu Selo au ajidhamini kutumia Hati anayoishikilia.Kutoka hapa block 41 mzee Kilomoni amekamatwa na Polisi na ameahidi kurejea baada ya dakika 5 lakini amepakiwa kwenye gari la Polisi kwa sababu zilizoelezwa kuwa hakuwa na kibali cha kufanya mkutano huo.
.
Msumari wa moto unataka kumgeukia
Ameshatoka kitamboWanaYanga kamtoeni mzee wenu Selo au ajidhamini kutumia Hati anayoishikilia.
Yupo tayari home kwake anagongemelea misumari ya moto ni balaa!Ameshatoka kitambo
Simba yako? Hata mia huchangii ati Atuachie timu yetu. Wakati inaanzishwa wewe ulikuwepo? Wacha wenye timu wadai haki zao, kama vipi kaanzishe na nyie ya kwenu na Moo dewji weni.Wakampumzishe kidogo tu maana huyo Mzee simwelewi atuache sie na Simba yetu kila siku kanapinga pinga tu sijui kakoje, nngekuwa mimi nakatia ndani hadi akili zimkae sawa, wakwamisha maendeleo ya mpira wetu
Kipindi kile Manji yupo Yanga hawa wazee kutwa wanacheza bao na draft pale Jangwani wanasuburi mgao, sasa hivi hakuna hata mmoja anaefika pale jengo lina buibui balaa.washenzi sana hawa, wakiona mdhamini nduki kuleta vurugu, yule akilimali hadi leo haonekani akija mdhamini huyo analeta miguu yake kuleta vurugu
Teh teh milionea wa Tandale
Yupo Keko anasubiria ndondo la jioniJamani mbona hakuna updates zozote za issue hii?
Mzee Kilomoni anaweza kupewa kesi ya uchochezi unafahamu hilo?
.
Anavuruga amani anaweza kuvamiwa kwake na hivi ni rahisi kuingilika wakamuuwa maana analeta hisia za chuki anaudhi sana yule mzee anastahili kupewa kesi ahangaike nayo mpaka anakufa
Apewe kesi ya kutakatisha pesa ahangaike nayo kama singa singa wa escrowMzee Kilomoni anaweza kupewa kesi ya uchochezi unafahamu hilo?
.
Anavuruga amani anaweza kuvamiwa kwake na hivi ni rahisi kuingilika wakamuuwa maana analeta hisia za chuki anaudhi sana yule mzee anastahili kupewa kesi ahangaike nayo mpaka anakufa
huyu mzee ndio hataki kukaa mezaniNadhan kukaa mezan ya kuyamaliza ni jambo zuri sana kila mtu ana hoja ya msingi, mgogoro wa simba upo wazi sana pia
Naam mkuu,weka hiyo misumari ya moto mkuu tujue,lete vitu mkuu.Yupo tayari home kwake anagongemelea misumari ya moto ni balaa!