Mzee Lowassa siku ya kufunga kampeni za urais 2015 alifunga mitaa yote ya Dsm kwa maandamano lakini aliangukia pua!

Kumbe?
Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.

Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?

Maendeleo hayana vyama!
 
Mtaokoteza sana vihabari uchwara maana mmeshikwa kwenye maungo hatarishi
Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.

Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?

Maendeleo hayana vyama!
 
Hicho unachowaza hakipo leo wala hakipo kesho wala kesho kutwa.

Labda kinaweza kutokea mwaka 2500.

Yaani hao waliojitokeza leo ambao kumpokea lissu ambao hawafiki hata nussu ya wanachi wa Jimbo la Kahama mjini ndiyo wanawapa kichwa kuchukua nchi??

Hahahaha
Endeleeni kujifariji. Naona mliyoyaona leo hadi sasa hamjaamini
 
Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.

Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?

Maendeleo hayana vyama!
Hujambo John? Ukitaka kuandika vitu vya maana jaribu kutumia kichwa cha juu badala ya MASABURI, kila mtu anajua Lowassa alishinda uchaguzi ule kwa zaidi ya kura milioni 10 wakati Magufuli aliambulia kura milioni tatu tu.
Lowassa alikubali kufanyiwa HUJUMA, DHULUMA NA WIZI. Kwa huyu Tundu Lissu itakuwa ngumu mno kukubaliana na UTAPELI WA CCM iwapo ataibiwa kura zake, akisema neno moja tu, tutaingia wote mitaani kuzidai kura zetu iwapo raisi wako jiwe atajaribu kutuibia. IKO HIVYO.
 
Sijambo bwashee!

Tundu Lisu atapata kura za mjini tu ambazo hazitatosha.......afadhali hata Bernad!
 
Kwa iyo unataka sema??? Safari hii hamna wa kumbeba magufuli maana wote kuanzia chamani hadi serikakilini wameshamjua kuwa ni very unpredictable.

Amini nakwambia yaliyotokea Malawi yanaenda kutokea Tanzania hapo October 2020.

Kwa wengi kuanzia wafanyabiashara wakubwa, wananchi na viongozi wenzake, ni heri nchi iende kwa Lissu na Chadema maana wameonesha maturity kuliko Magufuli kupata miaka 5

Day dreaming
 
Mbona unaogopa tume huru ya uchaguzi? Wizi wa kura bila aibu mnajisifia
 
Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.

Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?

Maendeleo hayana vyama!
Chadema ni wapumbavu sana na malofa ,wanasahau kwenye msafara wa mamba na kenge wapo ,kifupi ni kwamba ndani ya wanachama wao,walikuwepo vijana kibao wa usalama waliovalia kiraia,wakiwacheki tu na sarakasi zao
 
Kwa iyo unataka sema??? Safari hii hamna wa kumbeba magufuli maana wote kuanzia chamani hadi serikakilini wameshamjua kuwa ni very unpredictable.

Amini nakwambia yaliyotokea Malawi yanaenda kutokea Tanzania hapo October 2020.

Kwa wengi kuanzia wafanyabiashara wakubwa, wananchi na viongozi wenzake, ni heri nchi iende kwa Lissu na Chadema maana wameonesha maturity kuliko Magufuli kupata miaka 5
Maturity ipi mkuu hebu tuwe realistic hapa, hivi CHADEMA ina ilani ya uchaguzi? Kwa mfano wakipewa dola unajua watafanya nn zaidi ya kuweka mwenge wa uhuru makumbusho?.
 
Sijambo bwashee!

Tundu Lisu atapata kura za mjini tu ambazo hazitatosha.......afadhali hata Bernad!
Mwambie jiwe huo mpango wake na tume yake ya uchaguzi aliyoiweka MFUKONI, unaenda kushindwa vibaya sana. Akijaribu kuiba kura tu, Tundu Lissu atasema neno moja tu litakalotulazimu kuingia barabarani kama ulivyoona leo. Hapatatosha hadi mabeberu yatakapoingilia kati na kumchomoa kama LAURENT GABGBO, uzuri Baba yako Jiwe analijua hilo.
 
Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.

Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?

Maendeleo hayana vyama!
Ile nyomi ilikuwa na back up ya chadema, peke yake asingeweza.
 
Back
Top Bottom