Yapo maeneo mengi ila ni kwenye tasnia nzima ya siasa, kijamii na kiuchumi pia.
Kwani wewe huoni anao mchango mkubwa kwenye Taifa hil?
Tukizungumzia akiwa Waziri Mkuu, huyu ndiyo aliyehusika katika upatikanaji wa fedha kwaajil ya ujenz wa chuo cha Dodoma yan UDOM. Watu wengi wameenda pale kusoma, wenye uwezo na wasio na uwezo kiuchumi. Ni chuo ambacho najua unajua sifa zake.Mara ya pili nakuuliza:
Taja "mchango mkubwa" mmoja wa Lowassa kwa nchi hii.
Wakuu Salaam;
Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana.
Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini.
Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani.
Anayejua yuko wapi atupe mbili tatu siku iishe haraka.
Mfano biashara gani zake ambazo umeona zinapigwa pinyupo ana angalia vile biashara zake zinapigwa pini now tupo bandarini... Uchungu sana
Nini umeandika huelewekiHumjuwi /simjuwi Lowasa kwa hiyo tujifunze kukaa kimya
Kumbe mzee yuko fiti bado, watu hum wanadai anajiuguza ilihal yuko njema kiafya na hana waswas.
aina noma kiongoziππππHakuna mchangiaji mzuri kama wewe. Good, umekumbushia mbali.
Eti watu walimpigia deki barabarani.
ππππππππwatu walikua wanamuita fisadi na majina ya kila aina wengine mpaka wakamuimba kwenye nyimbo zao
mzee wa watu kuangalia watu wenyewe wengi ni watoto wajuzi juzi tu 90s ndo wanachonga sana eti wanataka mabadiliko hahahaaa
mzee akaona ngojea niingie mzigoni sasa niwafundishe siasa bila huruma kawapigisha mpaka deki kwenye jua kali halafu mwisho wa siku kapita hivi
yaani nahisi kipindi kile cha kampeni akikaa kwenye tv kuangalia alivyokua anawakusanya watu na kuwazungusha mikono alikua anacheka hadi hasira zote za kuitwa fisadi ziliishaππππ
alikua anajiuliza hivi hawa watu wanaakili kweli yaani urais unapatikana kiurahisi rahisi tu anapata nguvu tena kesho yake anaamka kwenye kampeni anazungusha watu mikono anaingia kwenye chopa motooooo
Hachambwi bali anauliziwa yuko wapi
Watu wa vibarazani mna matatizo sana.
Alishatubu kanisani dhambi zote alizofanya kwa mawazo,kwa maneno ,kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu sasa anasubiri kwenda zake mbinguniWatu wamekufa, watu wamefungwa, watu wamefunga biashara ghafla anarudi chama tawala, mzee mwenye bleach ya kikongo sijui Kama ataenda mbinguni
HIVI bwana na bibi harusi hawa wenye harusi hii wako wapi sasa?Binafsi sina hamu na Lowasa...! Ghafla niligeuka kuitwa Ngoyai daughterππππ!..kama ni mchezo huyu katuchzea michezo "michafu"
Mungu atatulipia
Hahahahaha mzee nae anavaa barakoa. Hajamsikia Magu?
Time hiyo, bwana weeh!!! Hatari. Ngoma ya Roma, kombe linaenda Monduli au kombe LA Magu ndo inatamba. Ilikuwa mbwai hatariiiHuu mwaka sitataka kujua kuhusu uchaguzi...ila atakayeenda kupiga kura akitokea hapa kwangu nakata kila kitu! ..siku hyo ntafatilia nyendo zooote za jamaa! Ajichanganye akapige kura...hahhaa....hataamini!.
Uliwaza mbali sana! Mie nilijua maana ya ukombozi imekaribia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binafsi sina hamu na Lowasa...! Ghafla niligeuka kuitwa Ngoyai daughter[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!..kama ni mchezo huyu katuchzea michezo "michafu"
Mungu atatulipia
Time hiyo, bwana weeh!!! Hatari. Ngoma ya Roma, kombe linaenda Monduli au kombe LA Magu ndo inatamba. Ilikuwa mbwai hatariii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahahahaha kuharibiana tu harusi ndo maana nasema huyu baba Mungu atamlaani! Nimecheka dahHIVI bwana na bibi harusi hawa wenye harusi hii wako wapi sasa?
Yule kwa namna fln afya yake si nzuri, akipatwa na covid ni mapema tuHahahahaha mzee nae anavaa barakoa. Hajamsikia Magu?
Sent using iphone pro max