watu walikua wanamuita fisadi na majina ya kila aina wengine mpaka wakamuimba kwenye nyimbo zao
mzee wa watu kuangalia watu wenyewe wengi ni watoto wajuzi juzi tu 90s ndo wanachonga sana eti wanataka mabadiliko hahahaaa
mzee akaona ngojea niingie mzigoni sasa niwafundishe siasa bila huruma kawapigisha mpaka deki kwenye jua kali halafu mwisho wa siku kapita hivi
yaani nahisi kipindi kile cha kampeni akikaa kwenye tv kuangalia alivyokua anawakusanya watu na kuwazungusha mikono alikua anacheka hadi hasira zote za kuitwa fisadi ziliisha😂😂😂😂
alikua anajiuliza hivi hawa watu wanaakili kweli yaani urais unapatikana kiurahisi rahisi tu anapata nguvu tena kesho yake anaamka kwenye kampeni anazungusha watu mikono anaingia kwenye chopa motooooo