Mzee Lowassa yuko wapi?

Mzee Lowassa yuko wapi?

Mara ya pili nakuuliza:

Taja "mchango mkubwa" mmoja wa Lowassa kwa nchi hii.
Tukizungumzia akiwa Waziri Mkuu, huyu ndiyo aliyehusika katika upatikanaji wa fedha kwaajil ya ujenz wa chuo cha Dodoma yan UDOM. Watu wengi wameenda pale kusoma, wenye uwezo na wasio na uwezo kiuchumi. Ni chuo ambacho najua unajua sifa zake.

Hlf katika ule mpango wa kujenga shule kila kata, kipind kile cha JK, huyu Lowassa alikua ni msimamizi wa mpango huo toka serikakini wa kusimamia huo utekelezaji. Na hii ilifungua fursa kwa watoto wengi kupata nafasi ya kwenda shule na idadi iliongezeka tofaut na awam iliyopita.

N.k
 
Huyu hapa
Wakuu Salaam;

Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana.

Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini.
Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani.

Anayejua yuko wapi atupe mbili tatu siku iishe haraka.
IMG-20200514-WA0037.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu walikua wanamuita fisadi na majina ya kila aina wengine mpaka wakamuimba kwenye nyimbo zao
mzee wa watu kuangalia watu wenyewe wengi ni watoto wajuzi juzi tu 90s ndo wanachonga sana eti wanataka mabadiliko hahahaaa
mzee akaona ngojea niingie mzigoni sasa niwafundishe siasa bila huruma kawapigisha mpaka deki kwenye jua kali halafu mwisho wa siku kapita hivi
yaani nahisi kipindi kile cha kampeni akikaa kwenye tv kuangalia alivyokua anawakusanya watu na kuwazungusha mikono alikua anacheka hadi hasira zote za kuitwa fisadi ziliisha😂😂😂😂
alikua anajiuliza hivi hawa watu wanaakili kweli yaani urais unapatikana kiurahisi rahisi tu anapata nguvu tena kesho yake anaamka kwenye kampeni anazungusha watu mikono anaingia kwenye chopa motooooo
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Watu wamekufa, watu wamefungwa, watu wamefunga biashara ghafla anarudi chama tawala, mzee mwenye bleach ya kikongo sijui Kama ataenda mbinguni
Alishatubu kanisani dhambi zote alizofanya kwa mawazo,kwa maneno ,kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu sasa anasubiri kwenda zake mbinguni
 
Huu mwaka sitataka kujua kuhusu uchaguzi...ila atakayeenda kupiga kura akitokea hapa kwangu nakata kila kitu! ..siku hyo ntafatilia nyendo zooote za jamaa! Ajichanganye akapige kura...hahhaa....hataamini!.
Uliwaza mbali sana! Mie nilijua maana ya ukombozi imekaribia
Time hiyo, bwana weeh!!! Hatari. Ngoma ya Roma, kombe linaenda Monduli au kombe LA Magu ndo inatamba. Ilikuwa mbwai hatariii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Time hiyo, bwana weeh!!! Hatari. Ngoma ya Roma, kombe linaenda Monduli au kombe LA Magu ndo inatamba. Ilikuwa mbwai hatariii

Sent using Jamii Forums mobile app

😅😅😅!/nilienda saloon kupakwa makeup ya rangi ya chadema...siku ile ndo hubby akaniuliza hivi ww mzima???🤒🤒🤒🤒🤒🤒🐒🐒🐒🐒! Bora ningebaki kunyonyesha mwanangu dah
 
Back
Top Bottom