Mzee Magoma aliyeishtaki Yanga asema “Wamekataa kunipa mic, Watu hawamtaki Manara, Hersi amegawa Wanachama”

Mzee Magoma aliyeishtaki Yanga asema “Wamekataa kunipa mic, Watu hawamtaki Manara, Hersi amegawa Wanachama”

1000140849.jpg

Zee limekaa kijambazi hilo hata kama siipendi topolonyo lakini hapa 🤣🤣🤣🤣
 
Namsikiliza mzee Magoma hapa yupo live Sports arena ya wasafi fm, msimamo wake ni kwamba hajamshtaki Hersi said ,hoja yake ni katiba mpya kubagua baadhi ya wanachama katika maamuzi ya kuchagua viongozi wa club. Anadai alienda mahakamani kushtaki mdhamini wa Yanga lakini hapo hapo anadai yeye siyo mwanachama wa tawi lolote la Yanga 🤣
 
Msikilizeni huyu mzee mdaa huu Wasafi FM ndipo utajua uk#ma anao mwing kichwani.Anakataa katiba na kusema haijapigiwa kula na wanachama wote, anapinga style waliyo itumia kwa kuwatumia viongozi wa matawi watano kutoka kila tawo wapitishe katiba. Mbona huu utaratibu unafanyika sehemu nyingi, kwenye vyama vya siasa,kwenye imani hizi za Kikristo.

Yy alitaka kama tawi lina wanachama mia basi wote,wapige kura.Anaulizwa je shida ya uongozi, katiba......? Anadai shida yake ni baraza la wadhamini. Anauliza tena kesi iliamuliwa mwaka jana why hii hukumu ibuke mwaka huu, anadai hata yy mwenyewe hajui aliye ipost hiyo nakala ya hukumu mwaka jana kwenye mitandao. Yaani haeleweki kama sigara kali anataka nini na amesimamia wapi.

Yani mcenge mcenge haeleweki anataka nn.Anakazi ya kujisifia kuwa yy mwanachama wa Yanga miaka 35,akiulizwa mchango wake kwa Yanga atakwambia busara,sasa busara tokea lini zikalipa mishahara na posho za wachezaji.
 
Si ndio mbumbumbu wanashadadia vitu wasivyo jua mtu hana hajalipia kadi ya uanachama wala hana tawi sasa si kupoteza muda tu
 
kwa kauli ya kutomtaka manara hii kesi ina mahusiano na mo dewj ni maoni yangu tu.
 
Huyo magoma hata ashtui,hata ukisiliza hoja zake hazina maana zaidi ya njaa tu,eti na yy anataka atambulike 😀
Sasa hv hadi mawe yatamtambua magoma ndo yuko kwa peak sasaaa

Ukiskia kufika kileleni ndio alipo magoma sasa hivi
 
Back
Top Bottom