OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
"Haiwezekani Mwanachama wa Simba aje afanye kazi Yanga haya ni mambo ya kijinga mwenendo wa timu sio mzuri, Sisi wazee wa Yanga hatuna imani na uongozi wa timu yetu
We ulishawahi kuona wapi Mwanachama wa Simba afanye kazi na Yanga, Sisi tunampenda Manara kwasababu ya Baba yake tu ila hatumpendi yeye mwenyewe viongozi wasituzingue wastuletee upumbavu timu sio yao pekeyao wanafanya maamuzi pekeyao
Maneno ya Mzee MAGOMA mzee kutoka baraza la wazee la Yanga alipohojiwa na EFM hata hivyo bado akiwa anaongea Maulidi Kitenge alimua kumkatia simu maana alikuwa akiongea kwa jazba sana.
My Take
Naungana na wazee wa Yanga kuhusu Tamko. Yanga inahujumiwa