zanzibakwetu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 618
- 377
Manara anawatesa sana .Mtajuta kumfahamu ngoja umuone atakavyowalipua jumamosi baada ya Yanga kushinda.Anajua kukera,mjiandae kisaikolojia"Yanga SC ikifungwa na Simba SC Jumamosi Viongozi wa watatuambia ni kwanini wamemleta Mtu Mnafiki, Msaliti na Muongo Haji Manara ndani ya Klabu yetu".
Chanzo: Sports Headquarters EFM leo
Safi sana Magoma lianzishe na piganeni.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app