Mzee Magoma: Haiwezekani MwanaSimba afanye kazi Yanga

Mzee Magoma: Haiwezekani MwanaSimba afanye kazi Yanga

Manara si ameshajitanabaisha kwamba yeye ni mwana yanga jamani
Manara kafuata shahara nono toka kwa swahiba wake Ghalib.
FB_IMG_1631647099990.jpg
 
Kheee[emoji23][emoji23][emoji23]

Huu ujinga umezidi sana kwakweli.
Mambo yawe proffessional.

Na mambo ya kuongoza mpira kifitna kati ya hizi club mbili ndo yanatuangushaga sana kuendeleza soka letu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Lakini nadhan ni kama simba imeachana na mambo hayo!, ndio mana toka Manara kaondoka, hakuna kiongozi au Mzee wa Simba SC aliyejiingiza kujibizana au kuukashifu uongozi wa simba kwa kuachana na Manara
 
Exactly. Huu ujinga ufike mwisho. Hatutaki tena haya mambo. Yanga huu ujinga tungeukubali toka manji akiwepo leo tungekua mbali sana

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom