So sad indeed. Umeongea vema!Usipoteze muda wako sana, Tanzania hatufwati meritocracy, hivyo anayefika juu siyo necessary the most intelligent one bali ni yule mwenye majungu, uongo, fitina, kuchonganisha watu na kujipendekeza aka uchawa, most of these people hawawezi kufanya interview ya kazi popote Dunia hii na hata kuingia tu kwenye mchujo wa kwanza, lkn kwetu wanaongoza nchi.
Hivyo tatizo ni mfumo wa Tanzania, msikilize mfano mtu kama T.Mbeki akiongea popote pale unajua huku ni head of state siyo kama hawa wetu lkn ndiyo hivyo wana power ya kuamua mstakabali wa mamilioni ya watu, so sad!
My observations/ cross examination ishu ya huyu mzeeKwa lugha ya jana alipohojiwa na amtusi aliyotoa, huyu mtu anjiona ana miliki ya Tanzania na mwanae January au in a broad sense kakundi kadogo ka CCM ndiko kamaimiliki kama mali binafsi Tanzania na yeye akiwa front seat katika kakundi ako!
Huo ndio ukweliKwa lugha ya jana alipohojiwa na matusi aliyotoa, huyu mtu anajiona ana miliki ya Tanzania na mwanae January au in a broad sense kakundi kadogo ka CCM ndiko kanaimiliki kama mali binafsi Tanzania na yeye akiwa front seat katika kakundi hako!
wewe ni kubwa jingaHuna akili
Litakuwa makamba ili pumbavu ngoja nilichunguze comment zake [emoji34]Wewe au makamba?
Wewe ujiulizi kwanini ni mzee na ana jichibua sura na mikorogoNashukuru Mungu hakunipatia mzazi kama huyu maana ni aibu.
Mzee mzima kwa umri ule una make headlines kwa mambo anayofanya mwijaku.
Aisee...huyo JPM ndio 'TBS' au ?....Ukiona mtu amekataliwa na JPM ujue huyo ni takataka kabisa
Na ana hasira kali juu ya mwanae kutumbuliwa na JPM. Ndo maana akatamka "watu wazuri hawafi."Kwa lugha ya jana alipohojiwa na matusi aliyotoa, huyu mtu anajiona ana miliki ya Tanzania na mwanae January au in a broad sense kakundi kadogo ka CCM ndiko kanaimiliki kama mali binafsi Tanzania na yeye akiwa front seat katika kakundi hako!
Umeweika vizuri sana.Usipoteze muda wako sana, Tanzania hatufwati meritocracy, hivyo anayefika juu siyo necessary the most intelligent one bali ni yule mwenye majungu, uongo, fitina, kuchonganisha watu na kujipendekeza aka uchawa, most of these people hawawezi kufanya interview ya kazi popote Dunia hii na hata kuingia tu kwenye mchujo wa kwanza, lkn kwetu wanaongoza nchi.
Hivyo tatizo ni mfumo wa Tanzania, msikilize mfano mtu kama T.Mbeki akiongea popote pale unajua huku ni head of state siyo kama hawa wetu lkn ndiyo hivyo wana power ya kuamua mstakabali wa mamilioni ya watu, so sad!
Kwa lugha ya jana alipohojiwa na matusi aliyotoa, huyu mtu anajiona ana miliki ya Tanzania na mwanae January au in a broad sense kakundi kadogo ka CCM ndiko kanaimiliki kama mali binafsi Tanzania na yeye akiwa front seat katika kakundi hako!
Na ana hasira kali juu ya mwanae kutumbuliwa na JPM. Ndo maana akatamka "watu wazuri hawafi."
Kina mzee Makamba wanajichukulia kama ukoo wa kina William, Harry and Charles.
Huyu mzee ana standby generator ndio maana anamuuliza ndugu muandishi kama kwake unakatika...Kwa lugha ya jana alipohojiwa na matusi aliyotoa, huyu mtu anajiona ana miliki ya Tanzania na mwanae January au in a broad sense kakundi kadogo ka CCM ndiko kanaimiliki kama mali binafsi Tanzania na yeye akiwa front seat katika kakundi hako!
Nchi hii miaka nenda rudi, kuna watu/familia wanajiona kama wao ndiyo wana hakimiliki ya nchi hiiNashukuru Mungu hakunipatia mzazi kama huyu maana ni aibu.
Mzee mzima kwa umri ule una make headlines kwa mambo anayofanya mwijaku.
Usipoteze muda wako sana, Tanzania hatufwati meritocracy, hivyo anayefika juu siyo necessary the most intelligent one bali ni yule mwenye majungu, uongo, fitina, kuchonganisha watu na kujipendekeza aka uchawa, most of these people hawawezi kufanya interview ya kazi popote Dunia hii na hata kuingia tu kwenye mchujo wa kwanza, lkn kwetu wanaongoza nchi.
Hivyo tatizo ni mfumo wa Tanzania, msikilize mfano mtu kama T.Mbeki akiongea popote pale unajua huku ni head of state siyo kama hawa wetu lkn ndiyo hivyo wana power ya kuamua mstakabali wa mamilioni ya watu, so sad!
Yaani mzee anavyofoka ni kama vile yeye ndio kila kitu hapa nchini na sisi wote ni mali yake na mwanae.Nchi hii miaka nenda rudi, kuna watu/familia wanajiona kama wao ndiyo wana hakimiliki ya nchi hii
Ova
Tuikatae tabia hii. In fact CCM imeifanya wananchi wa kawaida manamba, wao wanatuita ''wapiga kura wetu'' . Hii neno inanikeraga kiasi cha kutamani kuingia msituni.Kwa lugha ya jana alipohojiwa na matusi aliyotoa, huyu mtu anajiona ana miliki ya Tanzania na mwanae January au in a broad sense kakundi kadogo ka CCM ndiko kanaimiliki kama mali binafsi Tanzania na yeye akiwa front seat katika kakundi hako!