Usipoteze muda wako sana, Tanzania hatufwati meritocracy, hivyo anayefika juu siyo necessary the most intelligent one bali ni yule mwenye majungu, uongo, fitina, kuchonganisha watu na kujipendekeza aka uchawa, most of these people hawawezi kufanya interview ya kazi popote Dunia hii na hata kuingia tu kwenye mchujo wa kwanza, lkn kwetu wanaongoza nchi.
Hivyo tatizo ni mfumo wa Tanzania, msikilize mfano mtu kama T.Mbeki akiongea popote pale unajua huku ni head of state siyo kama hawa wetu lkn ndiyo hivyo wana power ya kuamua mstakabali wa mamilioni ya watu, so sad!