Dikteta alivyokuwa ana wakimbizi mchaka mchaka walimuona mjingaMzee ameonesha kiburi, jeuri, ambacho anajua watanzania ni wajinga hawawezi kusema chochote, halafu anajua CCM ni chama Dola yaani ukifika uchaguzi polisi CCM wanapiga watu na kupora uchaguzi huku wananchi hawana maji, hawana umeme ,pia usisahau huyu Mzee na kikosi chake wanalamba asali Nape, Makamba, Kikwete, Riziwani, Samia. Ni heri wazungu wangebaki kuliko hawa wazee
Mkuu lazima apaniki kwasababu walizania kuleta maendeleo ni jambo rahisiMpuuzi sana huyu mzee.
Anashindwa kujibu swali analazimisha tuishukuru CCM
Hana hekima
Anazidisha wananchi wanaomsikiliza waichukie serikali yao
HehehehMkuu lazima hapaniki kwasababu walizania kuleta maendeleo ni jambo rahisi
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kosa kubwa Magufuli alilofanya angewapotesa wote bila wananchi kujua, Nap, jn, mawayaAlafu huyu mzee anabwabwaja tu ....JPM angempoteza tu huyu kilaza.
Mmoja wa wanachama wa chama cha mambuzi akishikwa na hasira baada ya kuulizwa swali la msingi lililohitaji majibu ya hoja ili kutetea majani yake.Ninapendekeza mwandishi aliyeuliza swali hili apewe ubunge wa bure! Ni mzalendo haswa!
Hawa ndio walikuwa wanalalamika kuwa Magufuli hana majibu mazuriYusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na Maji Nchini, amshambulia vikali mwandishi "kuwa na shukrani"
View attachment 2438761
Wahuni wanawezaje kumaliza wahuni wenzao?Kosa la uongozi wa awamu ya 5 ni kutokumaliza wahuni
Kosa kubwa sana alilofanya Magufuli kudili na watu ambao hawana Mazala na nchi na kuacha watu wenye Mazala na nchi, Magufuli alitakiwa awashugulikie awa wazee na watoto wao leo hii wasingekuwepo kwe madarak, Sasa Magufuli akaanza kudili na wapinzani wa uongo na kuwaacha wapinza wa maendeleo ya nchi wakiwa huru, leo hii wanatesa na kutamba tuKosa la uongozi wa awamu ya 5 ni kutokumaliza wahuni
HahahahahaahWatu weusi tupo kama duplicate, nina mashaka hatukuumbwa sawa na wenzetu wengine..
Amejibu vizuri kwasababu muuliza swali alikusudia ufedhuliYusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na Maji Nchini, amshambulia vikali mwandishi "kuwa na shukrani"
View attachment 2438761