Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

Mmoja wa wanachama wa chama cha mambuzi akishikwa na hasira baada ya kuulizwa swali la msingi lililohitaji majibu ya hoja ili kutetea majani yake.Ninapendekeza mwandishi aliyeuliza swali hili apewe ubunge wa bure! Ni mzalendo haswa!
Tena limbuzi bebelu!
 
Mzee anauliza mambo ya nchi, anajibu kwa kumshambulia mtu. Analazimisha twende kwenye hoja, hoja yenyewe sasa ni pumba tupu? Hii nchi kwa sehemu kubwa iliharibiwa na wazee aina ya akina Makamba. Walipata vyeo wakati wasomi wakiwa nje ya siasa. Wasomi wamekuja kustuka kwenye siasa, wanakuta wajinga ndio wenye nguvu. Na njia pekee ya wajinga kujilinda ni hila, ushirikina, fitina, Majungu na matumizi makubwa ya nguvu.
 
Kaulizwa swali badala ya kujibu anaingiza personal affairs mara umesoma wapi baba yako kakamilisha yote kwenu !?

Hawa ndio masterminds na think tanks wa CCM mjione ndio maana hata kipara anapwaya ila akirudi nyumbani anapongezwa .

Yaani mtu anapata service kwa kulipia halafu amelipa na service hutoi anakuuliza unasema hana shukrani?
 
Mmoja wa wanachama wa chama cha mambuzi akishikwa na hasira baada ya kuulizwa swali la msingi lililohitaji majibu ya hoja ili kutetea majani yake.Ninapendekeza mwandishi aliyeuliza swali hili apewe ubunge wa bure! Ni mzalendo haswa!
LAKINI ni kiungo cha UBISHI
 
Kama hamukuwaweka pale na wanajua walipowaibia kura mlinywea mitungini, mnategemea mtawatisha? Sasa mtapewa Black and white mpaka mkome.
 
Kaulizwa swali badala ya kujibu anaingiza personal affairs mara umesoma wapi baba yako kakamilisha yote kwenu !?

Hawa ndio masterminds na think tanks wa CCM mjione ndio maana hata kipara anapwaya ila akirudi nyumbani anapongezwa .

Hawa wazee wa aina ya kina Makamba ndio mabingwa wa kupanga wizi wa kura. Wanajua Siku wakitoka madarakani hawatakaa warudi madarakani. Yaani watu wakipanga mstari kwenye box la kura wanawasanifu tu maana wanakuwa na matokeo mfukoni. Hawa wazee ndio huwa wanajiita system. Utasikia wapinzani hawatachukua nchi maana system haitakubali. Kumbe system yenyewe ni hawa wazee wa aina ya kina Makamba!
 
Nikukumbushe tu mwandishi alikuwa hajamaliza kuuliza swali Mzee akapanic angesubiri swali liieshe alafu ajibu Kwa staha kuwa yeye sio mwenye dhamana hivyo hawezi kujibu Hilo. Lingekuwa jibu Moja safi sana
Mwandishi hajui Kama mzee makamba Hana dhamana hizo?!
 
Mzee ameonesha kiburi, jeuri, ambacho anajua watanzania ni wajinga hawawezi kusema chochote, halafu anajua CCM ni chama Dola yaani ukifika uchaguzi polisi CCM wanapiga watu na kupora uchaguzi huku wananchi hawana maji, hawana umeme ,pia usisahau huyu Mzee na kikosi chake wanalamba asali Nape, Makamba, Kikwete, Riziwani, Samia. Ni heri wazungu wangebaki kuliko hawa wazee

Mzee wa ngunguri huyu, remember Mwembechai
 
Back
Top Bottom