Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wameshajua watz ni ng’ombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mpuuzi achana na mimi kama unashabikia upumbavu wa huyo kikongwe wako kwendra zako!Kodi gani unayomlipa?
Hahahaha hoja huna kumbe unabweka tu humuWewe mpuuzi achana na mimi kama unashabikia upumbavu wa huyo kikongwe wako kwendra zako!
Imebidi nicheke tuYusuph Makamba aulizwa kuhusu ukosefu wa umeme na Maji Nchini, amshambulia vikali mwandishi "kuwa na shukrani"
View attachment 2438761
Acha kufananisha Ng'ombe na vitu vya kijinga.Wameshajua watz ni ng’ombe
Tena limbuzi bebelu!Mmoja wa wanachama wa chama cha mambuzi akishikwa na hasira baada ya kuulizwa swali la msingi lililohitaji majibu ya hoja ili kutetea majani yake.Ninapendekeza mwandishi aliyeuliza swali hili apewe ubunge wa bure! Ni mzalendo haswa!
Kizazi cha walamba asali (wahuni watupu)na kipana ni ngumu sana kuwaondoa madarakani watu hawa wanaolindana
LAKINI ni kiungo cha UBISHIMmoja wa wanachama wa chama cha mambuzi akishikwa na hasira baada ya kuulizwa swali la msingi lililohitaji majibu ya hoja ili kutetea majani yake.Ninapendekeza mwandishi aliyeuliza swali hili apewe ubunge wa bure! Ni mzalendo haswa!
Kafanye machafuko kwenuMachafuko tu ndio njia ya kutoka hapa tulipo.
Kaulizwa swali badala ya kujibu anaingiza personal affairs mara umesoma wapi baba yako kakamilisha yote kwenu !?
Hawa ndio masterminds na think tanks wa CCM mjione ndio maana hata kipara anapwaya ila akirudi nyumbani anapongezwa .
ANAMTETEA MTOTO WAKE ila Mzee kaonyesha kutokuwa na HEKIMA wala BUSARA
Mwandishi hajui Kama mzee makamba Hana dhamana hizo?!Nikukumbushe tu mwandishi alikuwa hajamaliza kuuliza swali Mzee akapanic angesubiri swali liieshe alafu ajibu Kwa staha kuwa yeye sio mwenye dhamana hivyo hawezi kujibu Hilo. Lingekuwa jibu Moja safi sana
Yaani tunafanyiwa hisani ya umeme ila hatushukuru 😂😂Afrika bado sana mungu tusaidie, yaani matarajio yapo chini sana na bado viongozi wanaona sifa kuwa na shida.
Mzee ameonesha kiburi, jeuri, ambacho anajua watanzania ni wajinga hawawezi kusema chochote, halafu anajua CCM ni chama Dola yaani ukifika uchaguzi polisi CCM wanapiga watu na kupora uchaguzi huku wananchi hawana maji, hawana umeme ,pia usisahau huyu Mzee na kikosi chake wanalamba asali Nape, Makamba, Kikwete, Riziwani, Samia. Ni heri wazungu wangebaki kuliko hawa wazee