Mbona alitoa Orodha ya watu wazuri ambao kamwe kifo hakiwahusu mf. KinanaaeKatika Philosophy MTU mzuri huwa hafariki
Mfano tazama katika familia yako utapata jibu
Pia tazama kuhusu Mandela na Nyerere.
Mzee Mkamba he was right to speak that ila watu wameshindwa kuelewa hili jambo .
Binadamu mzuri mwenye utu huwa anaondoka katika mwili wa nyama Ila yeye anaendelea kuishi.
Mbona Maguire hamsamei?Tumsamehe bure siasa ndivyo zilivyo
Ulitaka amalize woooooote?!!! Alipewa siku nzima ya kuongea?!!!!!Mbona alitoa Orodha ya watu wazuri ambao kamwe kifo hakiwahusu mf. Kinanaae
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Na yeye tuna subiri keshokutwa watangaze RIP WAZURI HAWAFI.sasa hivi wako kimyaAlipotea hewani baada ya hiyo kauli, na sisi tupp standby kuona yeye ni mzuri au ni mbaya
Katika ufunguzi wa kiwanda cha ngozi pale Morogoro ndo kesi ilifungwa pale.Kurogwa? Pacemaker inaweza kuharibiwa electromagnetically..
Unaweza kudhani wewe mwerevu kumbe ndiye mpumbavu.Kabisa mkuu, watz wengi sana ni wapumbavu......inasikitisha kuwaona wamejaa humu tele. Wengine wanatiwa upumbavu na chuki na ufuasi wao.
ukiwa na uelewa na Ufahamu mdogo kuhusu, misemo, nahau, na misamiati ya kiswahili ,Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya? Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
jifunze maana mujarabu kwa muungwana asie na hiana hapa 🔥Katika Philosophy MTU mzuri huwa hafariki
Mfano tazama katika familia yako utapata jibu
Pia tazama kuhusu Mandela na Nyerere.
Mzee Mkamba he was right to speak that ila watu wameshindwa kuelewa hili jambo .
Binadamu mzuri mwenye utu huwa anaondoka katika mwili wa nyama Ila yeye anaendelea kuishi.
chota ufahamu zaidi kwa muungwana mwingine hapa aliefafanua vema bila choyo 🔥Wazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...
Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
Watu wenye tabia ya kusema sema sana na kutaka sifa kwa wasikilizaji huwa wanaropoka maneno mengine ambayo baadaye huwa wanayajutia !!Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya? Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Yussufu Makmba likuwa na kihoro cha mudamrefu na Magufuli.Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya? Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
That’s it !!Yule mzee aliongozwa na ujinga uliopita kiwango kutamka jambo hili huku akitolea mifano ya watu waliohai
Kama angekuwa anamaana ya watu wazuri hawafi ni wale wanaoacha legacy, asingelitaja majina ya waliohai kusisitizia mfano wake
Ni tamko la kijinga kutoka kwa mtu asiyedhaniwa kutamka hivyo na litaendelea kumtafuna yeye na famila yake hadi atakapojitokeza kuomba msamaha kwa kinywa chake yeye
Ndio maana akaropokwa na yale maneno !Yussufu Makmba likuwa na kihoro cha mudamrefu na Magufuli.
Aliyesema yupo anaishi MadaleHivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?
Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Yule Mzee hata Mimi nikimsamee bure. Ila asirudie tena hajui tu aliitoa kipindi Watanzania tunafikikilia wakuja kuwatetea Wanyonge, atakayeweza Kuisimamia Miradi Mikubwa ya Kimkakati Mfano Bwawa la Mwalimu Nyerere, Miradi ya Barabara n.k.Tumsamehe bure siasa ndivyo zilivyo
Kama Rais Mwendazake legacy aliyotuachia ya kumpiga Risasi 38 RAIA wake Tundu lissu kwa Roho mbaya na HAKUFA hii Legacy itakumbukwa MileleWazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...
Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
Kwa hiyo kikwete hana legacy yeyote ndani ya nchi hii?Alitolea mfano kinana na kikwete..je wana legacy ipi? Na je wamekufa tayari?
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Watu wanaangalia mzani unazidi upande gani.Kwa hiyo kikwete hana legacy yeyote ndani ya nchi hii?
Ebu jaribuni kupunguza chuki za kipumbavu hazitakusaidia kupunguza ugumu wako wa maisha.
Ukisamehe nawe utasamehewa ! 🙏Yule Mzee hata Mimi nikimsamee bure. Ila asirudie tena hajui tu aliitoa kipindi Watanzania tunafikikilia wakuja kuwatetea Wanyonge, atakayeweza Kuisimamia Miradi Mikubwa ya Kimkakati Mfano Bwawa la Mwalimu Nyerere, Miradi ya Barabara n.k.
Na nilimsamehe hasa baada ya Kumuona Rais wa awamu ya Sita kugundua kauli yake ilikuwa ya Kichawa zaidi na Siyo ya Kibinadamu wa Kawaida (Ilimuuma Mtoto wa Mke wake Kutumbuliwa awamu ya 5), nilimsamehe baada ya Kauli yake ya Ovyo kufunikwa na Utendaji wa Serikali ya awamu ya Sita, nikimsamehe baada ya Kugundua umri umeenda wa yule Mzee, nilimsamehe baada ya Kugundua Mzee hakisei ila anashauriwa na akishauriwa anaelewa na mambo Mengine yanendelea, nilimsamehe Jamani na Nawaomba tumsamehe si tunaona Kazi inaendelea na Mengine Serikali inaendelea kuboresha.
Nb: Mzee Wetu Tumsamehe Jamani amekosa sana na alikosea kwelikweli. Watanzania tuna legacy ya kuendeleza Mazuri na ya Ovyo huwa tunayapotezea.
Kunakiongozi gani nchii hii kaacha legacy kubwa kumshinda magufuli,Wazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...
Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
legacy ya kikwete labda urais lkn tukesema kaacha arama gani kwenye urais ni hamna alichoacha,Kwa hiyo kikwete hana legacy yeyote ndani ya nchi hii?
Ebu jaribuni kupunguza chuki za kipumbavu hazitakusaidia kupunguza ugumu wako wa maisha.