Mzee Makamba aliwaza nini kusema ''Watu wazuri hawafi''?

"Watu wazuri hawafi. NDIYO MAANA KINANA BADO YUPO, JAKAYA BADO YUPO ANADUNDA".

Angalia jinsi alivyohitimisha hiyo kauli yake. Hapo ndipo shida ilianzia. Mzee alipotokwa kuongea vile mkuu.

Angeishia tu kwenye "wazuri hawafi" basi, nadhani isingeleta shida.

-Kaveli-
 
Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?

Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Uchawa na kunipendekeza ndio issue
 
Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?

Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Alijua mwanae anakuwa Rais.

Sasa sijui ni Urais wa Isani?
 
Wazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...

Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
Alimtaja Kinana, Kinana kwa tuhuma zote zile, ni legacy ipi kwake hata akiondoka ataiacha?
 
Wewe ni mfuasi wa kauli hiyo ya kijinga?

Maana hata ulichoandika kinasadifu huo upumbavu wa maneno!
 
Alichapia tu, alichomaanisha kusema ni kuwa watu wenye roho mbaya na wala rushwa huwa wanaishi muda mrefu tofauti na wale ambao wanatetea masilahi ya wote.
 
Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?

Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Anajiona yu hai, hivyo ni mwema, anajidanganya!
 
Povu??? tatizo lako shule ney ney., Shule ilikuchapa, akili kisoda.
 
Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya?

Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Acha kupotosha
Ingekuwa hivyo alimaanisha angetaja watu marehemu na kutoa mfano, ila yeye aliwataja watu fulani wazima na akasema si unaona hawajafa fulani na fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…