Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Mbona la kupeleka kimemo kwa Magufuli mwanae achaguliwe udc mnalipotezea?
 
Makamba ndiye mzee JK anayejivunia,jamani!Mzee gani hana busara mpaka anapenyeza vimemo kwa magufuli ili Dada yake awe DC?Kama wazee ndio hao basi hawana maana
Hahahaha Magufuli akimpiga chini mwanae January sijui Makamba ataibuka na hoja gani
 
we unamuona gwajima ana busara,busara hana kabisa ila makamba kayataka mwenyewe gwajima hawezi kumkalia kimya na makamba atachemsha kwa sababu hana pa kujibia kama akitukanwa angekaa kimya tu
 
Msimdanganye Gwajima huu sio utawala wa Kikwete....mpaka sasa Gwajima sio kwamba ana uadui na Kikwete tu, Bali CCM Na serikali yake.

Toka alivyokamatwa uwanja wa ndege na kuhojiwa kwa saa zisizoeleweka, hatujasikia tena mbwembwe zake.... zaidi ya kuona waumini wake wakiigiza kugalagala Barabani.

Hii serikali ya awamu ya tano, inataka matokeo sio siasa.!
 
Katika yote yaliyoongelewa umeliona hilo peke yake!. Ujumbe wake umeuelewa vizuri lakini?.
Ujumbe wake umeeleweka kwamba Magufuli hataki mazoea ya vimemo,anateua mtu kwa sifa na si kujuana!Hoja yangu hapa ni kuwa mzee kama huyo anakuwaje hazina ya chama huku akipenyeza vimemo?
 
Makamba ndiye mzee JK anayejivunia,jamani!Mzee gani hana busara mpaka anapenyeza vimemo kwa magufuli ili Dada yake awe DC?Kama wazee ndio hao basi hawana maana
Dada yake....
Au binti yake[emoji47]
Pengine kumbukumbu zimeanza kunitoka eehhh.....[emoji20]
 
sidhani kama ngwajima atarudia asee kurumbana na wanasiasa
Sio vyema kuchanganya dini na siasa hasa kwa viongozi wetu wa kiroho.
Lakini sio vibaya viongozi wa kiroho wakitoa matamko pale nchi inapotokea kwenda mrama na kutishia amani
 
Mchocheeni tu ...zama za kucheka na nyani zimepita.
 
Hovyo kabisa,Gwajima ni mungu hadi aogopewe? Kulikua na mtu anatisha kama Lowassa na watu walimkata
 
Ninavyomjua Gwajima atalinganisha dhambi ya kumtukana Cardinal Na dhambi ya Mwl.Mkuu ya Kubaka Mwanafunzi Na kumpa mimba, sijui atatumia msitari gani kwenye Holly bible!!??
Ha ha ha mwl wa mkoani Kigoma[emoji12]
 

Makamba naye ana laana . Ngoja waje watamwambia kuwa na yeye amelaaniwa
 
Acheni kuchochea ujinga..huyu abaki kwny kazi zake za kiroho na huyo awe kwny siasa...mkichanganya yatakuja mambo mengine ambayo sio necessary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…