Ina maana akina Majaliwa Kassim Majaliwa, Samia Suluhu, Sophia Simba et al wote hawa wanapenda fisadi? Sababu waliimba kuwa Wana imani na Lowassa oyaaaa oyaaaa oyaaaaSiasa za kiafrika hazinaga msafi. Unataka kuniambia gia ya angani ambayo ilimfanya Lowassa asifiwe na wale wale waliomuita fisadi, iliweza kutekelezeka bila ya kutokuwepo kwa mkwanja uliopenyezwa chini ya meza?. Unataka kuniambia ilikuwa ni clean politics kwa EL kupewa nafasi ya kugombea urais?. Siasa zina mambo mengi ambayo hayajulikani hadharani kwa walio wengi.
Gwajima hana mipasho bali anaongea kwa kujiamini. Na anasimamia ukweli, ile taarifa yake ilikuwa ya kiufufuokama ni mipasho na matusi Gwajima hamuwezi Makamba. Kwanza Gwajima hata kiswahili hakijui sijui ni mtu wa nchi jirani
mungu ndo alimtuma ngwajima aongee yale maneno?.Wewe unajua Mungu anawatuma watumishi wake kusema nini?
Hoja yangu ni JK kumpaisha huyo mzee pamoja nakusikia alichokisema,akatamba kabisa ndio faida ya kuwa na wazee wa chama as if Makamba aliongea vema sana!Siasa za kiafrika hazinaga msafi. Unataka kuniambia gia ya angani ambayo ilimfanya Lowassa asifiwe na wale wale waliomuita fisadi, iliweza kutekelezeka bila ya kutokuwepo kwa mkwanja uliopenyezwa chini ya meza?. Unataka kuniambia ilikuwa ni clean politics kwa EL kupewa nafasi ya kugombea urais?. Siasa zina mambo mengi ambayo hayajulikani hadharani kwa walio wengi.
Hata huyu mdingi Ana laana ya kumpa mwanafunz wake mimbaAmakweli nyani haoni kundule...hivi wao CCM mbona wanalaana nyingi tu moja ya Abdu Jumbe..suala la kumuwekea binaadamu mwenzio kizuizi na kumnyima uhuru wa kufanya mambo yake ni laana..maana atakua ananung'unika kila siku kwa ajiili yako..La makonda na Warioba hajaliona.
Hivi majanga ya pengo yame kwisha?!Tusimpinge Gwajima kwa kauli yake dhidi ya Pengo. Ukweli ni kwamba kauli ya Pengo haikuwa sahihi
nimeipenda hii yakoNatamani Gwajima ajibu ili siku zangu za kuishi ziongezeke
Usipende kuongea kwa ushabiki mkuu. Kadinali Pengo hakuwahi kumzungumzia Gwajima wala kuwa na mabishano/malumbano nae isipokuwa Gwajima alimshambulia Kadinali pengo lakini yeye hakumjibu. Pengo ana busara sana alikwepa malumbano na mtu alie kosa hekima na elimu, ange jibishana nae angeonekana wa ovyo kama Gwajima. My take Gwajima hajawahi kumshinda Kadinali Pengo kwa hoja na hatokuja mshinda. Pengo ana miaka mingi sana ya darasani, ya kuongoza watu wengi takribani zaidi ya mara 100 ya waumini/wafuasi wa Gwajima. Juu ya yote Kadinali Pengo amesoma Falsafa kwa kiwango kikubwa ndio inayo mwezesha kufanya reasoning ktk kauli, matendo na maamuzi yake. Gwajima ni mbabaishaji tu. Naona nawe unafanya ushabiki kwa mambo ya kizembe mnafanana akili na unaemshabikia Gwajima.Naamini siku ya kesho Askofu Gwajima ni lazima atamjibu Makamba hadi Makamba ataomba poo japo kimya,kama alimjibu Slaa hadi akakimbia,akamjibu Pengo naye kimya atashindwa kumjibu Makamba,kama mwenzie JK amemtaja kimafumbo kwa kumuogopa GWAJIMA,sembuse makamba,tusubiri COMEDY mpya dah ksh rahhhhhhhhhhha saaaaaaana
Nimecheka sana kwakweliKumpitisha Kikwete!? Kuwa nani...!?
Angekuwa na sifa kubwa kiasi cha hadi wewe kutaka kumwita mtukufu kwa falsafa yake asingetoa maamuzi kinyume cha baraza kuu la maaskofu (TEC). Pengo si kiongozi wa juu wa kanisa Katoliki Tanzania. Yeye ni mkuu kwa Dar Es Salaam tu. Chombo cha juu kwa nchini ni TECUsipende kuongea kwa ushabiki mkuu. Kadinali Pengo hakuwahi kumzungumzia Gwajima wala kuwa na mabishano/malumbano nae isipokuwa Gwajima alimshambulia Kadinali pengo lakini yeye hakumjibu. Pengo ana busara sana alikwepa malumbano na mtu alie kosa hekima na elimu, ange jibishana nae angeonekana wa ovyo kama Gwajima. My take Gwajima hajawahi kumshinda Kadinali Pengo kwa hoja na hatokuja mshinda. Pengo ana miaka mingi sana ya darasani, ya kuongoza watu wengi takribani zaidi ya mara 100 ya waumini/wafuasi wa Gwajima. Juu ya yote Kadinali Pengo amesoma Falsafa kwa kiwango kikubwa ndio inayo mwezesha kufanya reasoning ktk kauli, matendo na maamuzi yake. Gwajima ni mbabaishaji tu. Naona nawe unafanya ushabiki kwa mambo ya kizembe mnafanana akili na unaemshabikia Gwajima.
Hujasomeka mkuuHivi majanga ya pengo yame kwisha?!
Usimhukumu mtu usije kuhukumiwa...........Tabia ya ngwajima inafanana na nabii samweli,aliemkata kichwa yule mfalme..
Anyway ngwajima anaweza hata kumroga mzee makamba halafu asingizie amepata na mapigo ya simba wa yuda.
Lakini sidhani kama uchawi wa kinigeria utafua dafu kwa mitishamba ya Tanga
Nawe ukaamini bila kutafakari?Jpm ameshuhudia wazi kuwa alikua kakataa,which make maneno ya ngwajima kuwa yalikua ya uongo,jambo ambalo ni kuvunja moja ya amri kumi za jehova,which justify makamba senior words
Kwa Makamba kutoa laana kwa mtumishi wa Mungu na imrudie.......... . Jina la YESU litukuzweYesu wetu tunayemwamini si wa laana bali wa Baraka.
Kama laana ama mtoa post ama huyo uliyemsema iwarudie.
Damu ya Yesu yasafisha