Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,108
Ina maana akina Majaliwa Kassim Majaliwa, Samia Suluhu, Sophia Simba et al wote hawa wanapenda fisadi? Sababu waliimba kuwa Wana imani na Lowassa oyaaaa oyaaaa oyaaaaSiasa za kiafrika hazinaga msafi. Unataka kuniambia gia ya angani ambayo ilimfanya Lowassa asifiwe na wale wale waliomuita fisadi, iliweza kutekelezeka bila ya kutokuwepo kwa mkwanja uliopenyezwa chini ya meza?. Unataka kuniambia ilikuwa ni clean politics kwa EL kupewa nafasi ya kugombea urais?. Siasa zina mambo mengi ambayo hayajulikani hadharani kwa walio wengi.