Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Siasa za kiafrika hazinaga msafi. Unataka kuniambia gia ya angani ambayo ilimfanya Lowassa asifiwe na wale wale waliomuita fisadi, iliweza kutekelezeka bila ya kutokuwepo kwa mkwanja uliopenyezwa chini ya meza?. Unataka kuniambia ilikuwa ni clean politics kwa EL kupewa nafasi ya kugombea urais?. Siasa zina mambo mengi ambayo hayajulikani hadharani kwa walio wengi.
Ina maana akina Majaliwa Kassim Majaliwa, Samia Suluhu, Sophia Simba et al wote hawa wanapenda fisadi? Sababu waliimba kuwa Wana imani na Lowassa oyaaaa oyaaaa oyaaaa
 
kama ni mipasho na matusi Gwajima hamuwezi Makamba. Kwanza Gwajima hata kiswahili hakijui sijui ni mtu wa nchi jirani
Gwajima hana mipasho bali anaongea kwa kujiamini. Na anasimamia ukweli, ile taarifa yake ilikuwa ya kiufufuo
 
Tabia ya ngwajima inafanana na nabii samweli,aliemkata kichwa yule mfalme..

Anyway ngwajima anaweza hata kumroga mzee makamba halafu asingizie amepata na mapigo ya simba wa yuda.

Lakini sidhani kama uchawi wa kinigeria utafua dafu kwa mitishamba ya Tanga
 
Siasa za kiafrika hazinaga msafi. Unataka kuniambia gia ya angani ambayo ilimfanya Lowassa asifiwe na wale wale waliomuita fisadi, iliweza kutekelezeka bila ya kutokuwepo kwa mkwanja uliopenyezwa chini ya meza?. Unataka kuniambia ilikuwa ni clean politics kwa EL kupewa nafasi ya kugombea urais?. Siasa zina mambo mengi ambayo hayajulikani hadharani kwa walio wengi.
Hoja yangu ni JK kumpaisha huyo mzee pamoja nakusikia alichokisema,akatamba kabisa ndio faida ya kuwa na wazee wa chama as if Makamba aliongea vema sana!
 
Jpm ameshuhudia wazi kuwa alikua kakataa,which make maneno ya ngwajima kuwa yalikua ya uongo,jambo ambalo ni kuvunja moja ya amri kumi za jehova,which justify makamba senior words
 
Yesu wetu tunayemwamini si wa laana bali wa Baraka.

Kama laana ama mtoa post ama huyo uliyemsema iwarudie.

Damu ya Yesu yasafisha
 
Elungata una uhakika Gwajima anatumia pepo wachafu

Angalia usimnenee mabaya mtumishi wa Kristo aliye na kundi kubwa nyuma yake linalofunga na kuomba!
 
Amakweli nyani haoni kundule...hivi wao CCM mbona wanalaana nyingi tu moja ya Abdu Jumbe..suala la kumuwekea binaadamu mwenzio kizuizi na kumnyima uhuru wa kufanya mambo yake ni laana..maana atakua ananung'unika kila siku kwa ajiili yako..La makonda na Warioba hajaliona.
Hata huyu mdingi Ana laana ya kumpa mwanafunz wake mimba
 
Naamini siku ya kesho Askofu Gwajima ni lazima atamjibu Makamba hadi Makamba ataomba poo japo kimya,kama alimjibu Slaa hadi akakimbia,akamjibu Pengo naye kimya atashindwa kumjibu Makamba,kama mwenzie JK amemtaja kimafumbo kwa kumuogopa GWAJIMA,sembuse makamba,tusubiri COMEDY mpya dah ksh rahhhhhhhhhhha saaaaaaana
Usipende kuongea kwa ushabiki mkuu. Kadinali Pengo hakuwahi kumzungumzia Gwajima wala kuwa na mabishano/malumbano nae isipokuwa Gwajima alimshambulia Kadinali pengo lakini yeye hakumjibu. Pengo ana busara sana alikwepa malumbano na mtu alie kosa hekima na elimu, ange jibishana nae angeonekana wa ovyo kama Gwajima. My take Gwajima hajawahi kumshinda Kadinali Pengo kwa hoja na hatokuja mshinda. Pengo ana miaka mingi sana ya darasani, ya kuongoza watu wengi takribani zaidi ya mara 100 ya waumini/wafuasi wa Gwajima. Juu ya yote Kadinali Pengo amesoma Falsafa kwa kiwango kikubwa ndio inayo mwezesha kufanya reasoning ktk kauli, matendo na maamuzi yake. Gwajima ni mbabaishaji tu. Naona nawe unafanya ushabiki kwa mambo ya kizembe mnafanana akili na unaemshabikia Gwajima.
 
Lakini, wote si maaskofu hawa? Vipi mmoja awe na nguvu kuliko mwingine,, na Mheshimiwa anamjua?
HII KAZI YA MUNGU MKUU, MWACHiE MUNGU, WE PIGA SIASA.
--LAKINI NISAMEHE SANA MKUU, MIMI NIMESHATOKA HAPO.
 
Usipende kuongea kwa ushabiki mkuu. Kadinali Pengo hakuwahi kumzungumzia Gwajima wala kuwa na mabishano/malumbano nae isipokuwa Gwajima alimshambulia Kadinali pengo lakini yeye hakumjibu. Pengo ana busara sana alikwepa malumbano na mtu alie kosa hekima na elimu, ange jibishana nae angeonekana wa ovyo kama Gwajima. My take Gwajima hajawahi kumshinda Kadinali Pengo kwa hoja na hatokuja mshinda. Pengo ana miaka mingi sana ya darasani, ya kuongoza watu wengi takribani zaidi ya mara 100 ya waumini/wafuasi wa Gwajima. Juu ya yote Kadinali Pengo amesoma Falsafa kwa kiwango kikubwa ndio inayo mwezesha kufanya reasoning ktk kauli, matendo na maamuzi yake. Gwajima ni mbabaishaji tu. Naona nawe unafanya ushabiki kwa mambo ya kizembe mnafanana akili na unaemshabikia Gwajima.
Angekuwa na sifa kubwa kiasi cha hadi wewe kutaka kumwita mtukufu kwa falsafa yake asingetoa maamuzi kinyume cha baraza kuu la maaskofu (TEC). Pengo si kiongozi wa juu wa kanisa Katoliki Tanzania. Yeye ni mkuu kwa Dar Es Salaam tu. Chombo cha juu kwa nchini ni TEC

Pia nadhani hujui hata nguvu ya YESU haihitaji elimu kubwa ya darasani. Gwajima ni kiongozi wa kanisa lenye matawi America, South America, Uingereza, Ujerumani, Tanzania.

Ukweli ni kwamba swala la Katiba na kuchinja askofu Pengo alikosea kabisaaaa na aliibeba serikali na kukandamiza ukristo
 
Tabia ya ngwajima inafanana na nabii samweli,aliemkata kichwa yule mfalme..

Anyway ngwajima anaweza hata kumroga mzee makamba halafu asingizie amepata na mapigo ya simba wa yuda.

Lakini sidhani kama uchawi wa kinigeria utafua dafu kwa mitishamba ya Tanga
Usimhukumu mtu usije kuhukumiwa...........
 
Jpm ameshuhudia wazi kuwa alikua kakataa,which make maneno ya ngwajima kuwa yalikua ya uongo,jambo ambalo ni kuvunja moja ya amri kumi za jehova,which justify makamba senior words
Nawe ukaamini bila kutafakari?
 
Yesu wetu tunayemwamini si wa laana bali wa Baraka.

Kama laana ama mtoa post ama huyo uliyemsema iwarudie.

Damu ya Yesu yasafisha
Kwa Makamba kutoa laana kwa mtumishi wa Mungu na imrudie.......... . Jina la YESU litukuzwe
 
Back
Top Bottom