Anauchukua bila kupigiwa kura?Mi nakwambia Uenyekiti anachukua Mbowe
Akiuchukua watu wataamzisha chama kingine!Mi nakwambia Uenyekiti anachukua Mbowe
Unawaona viongozi wa sasa wa Chadema ni mapoyoyo? Mbowe amesema aliyosema lakini hayawezi kudhoofisha msimamo wa Chadema juu ya kinachoitwa maridhiano,just wait and see.Baada ya hotuba yake kwenye mazishi ya Mzee Mtei (RIP), vijana wengi wanaonekana kukoshwa na hotuba hiyo, wengine wakimpongeza kwa hashtags kwenye social media. Wengine wanaona kama ni mwelekeo mzuri wa Mbowe kurudisha heshima iliyotetereka ndani ya chama chake cha CHADEMA kwa siku za hivi karibuni.
Lakini huyu Mzee atawashangaza; muda utaongea.
Hamna jipya alilolizungumza ambalo wengine hawajalizungumza.Kwani Mbowe kaongea nini na wewe ulitaka aongee nini.
Ngoja tuone Time will tellMi nakwambia Uenyekiti anachukua Mbowe
Muda huongea
Mbowe kurudi kwenye mstari ni ndoto zisizowezekana katika uhalisia, na anautumia mwanya huo kwa baadhi ya wafuasi wake wanaodhani kwamba anaweza kurudi kwenye mstari. Mtego huo.Atashangaaa Yeye.
Ni either Aludi kwenye mstari, Au aendelee kula buyu.
Sio mapoyoyo ila yule Mzee ni mtu wa dili wawe makini sana.Unawaona viongozi wa sasa wa Chadema ni mapoyoyo? Mbowe amesema aliyosema lakini hayawezi kudhoofisha msimamo wa Chadema juu ya kinachoitwa maridhiano,just wait and see.
Hamna jipya alilolizungumza ambalo wengine hawajalizungumza.Atajishangaa yeye, hata hivyo tunampongeza kwa alichokisema jana
Kila mwenye akili timamu ameshamuelewa Mbowe ni mtu wa namna gani hivyo tunakwenda naye kwa uangalifu.Sio mapoyoyo ila yule Mzee ni mtu wa dili wawe makini sana.
Vyovyote vile, haimwondolei kuwa mtu wa dili, dalali, na msanii katika siasa za upinzani.Mzee wa watu hana jema, akikaa kimya shida, akisema shida.
Ila anapaswa kulaumiwa kwa tabia mbaya ya 'baadhi' ya vijana alio walea huku mitandaoni.
Kwa ninavyofikiri; Chadema kama chama kina wafuasi wengi wasiopenda na wasio wanademokrasia, pengine kuliko vyama vyote nchini.