Mzee Mbowe anawachezea akili vijana wake wa CHADEMA, mwisho wa siku wataangukia kwenye mtego wake

Kwani alichoongea Mbowe, wengine kina Heche au Lissu au Mnyika n.k hawajaongea?

Kwani CCM na serikali yake haijui kwamba inafanya ukandamizaji kwa wanasiasa wa vyama mbadala kiasi cha kuondoa dhana nzima ya demokrasia?
Hamna jipya alilolizungumza ambalo wengine hawajalizungumza. Lakini namna vijana wake wanavyopusha hashtags kwenye social media na vyombo vya habari kama vile kaongea jipya inashangaza sana. Yote hayo CHADEMA wameongea sana, viongozi wa dini wameongea sana (TEC), na wengine wengi, na Serikali inafahamu kwamba dika linafanya ukandamizaji; ila kaongea dalali kuna ajenda zinasukumwa kimkakati kwenye social media.
 
Angalizo. Mbowe ni rafiki wa karibu na mkubwa sana wa yule muovu kutoka Zanzibar. Rafiki wa adui nae yafaa kumwita adui.
Mbowe ni tapeli tu, nashangaa vijana wanavyopoteza akili na kujikosha kwa kumpa hongera na pongezi kwa hotuba ile. Hakuna jipya alilolisema ambalo wengine hawajasema, yule ni mnafiki tu.
 
Mbowe ni tapeli tu, nashangaa vijana wanavyopoteza akili na kujikosha kwa kumpa hongera na pongezi kwa hotuba ile. Hakuna jipya alilolisema ambalo wengine hawajasema, yule ni mnafiki tu.
Ameona hana tena relevance kwenye jamii akaona atumie msiba huu kusema chochote na kuonyesha msimamo wake ila hawezi acha kumtetea Swahiba wale yule muovu.
 
Nani kakudanganya kuwa heshima ya Chadema imetetereka!
 
...endelea kufikiria, ndio uhuru wa mawazo. Nifikiliavyo mimi vijana hao utawakuta uvccm na sifa yao kuu ni kupenda posho kwa kila wakifanyacho.
 
Hapa ndipo unaweza kushangaa baadhi ya watu kwa kujiuliza kiwango cha uwezo wao wa changanua mambo

Mtu akiongea ukweli na kuwa na msimamo binafsi juu ya upuuzi wa serikali ambao yeye hakubaliani nao, ni lazima aanze kuhusishwa na nadharia za "kushawishi watu kuhusu maridhiano"

Sidhani kama ni nadharia sahihi. Waacheni watu waseme waliyonayo mioyoni mwao ili viongozi wajue misimamo yao

Kwa watu kama Mbowe kusema ujumbe unafika kwa serikali kwamba hata walioko kimya hawakubaliani na upuuzi wao
 
Ndio maana kuna kitu kinachoitwa muktadha (Context) mjomba. Ukweli usio na muktadha ni kama takataka, ukweli wa Mbowe kaongea, upo katika muktadha upi!?
 
Unawaona viongozi wa sasa wa Chadema ni mapoyoyo? Mbowe amesema aliyosema lakini hayawezi kudhoofisha msimamo wa Chadema juu ya kinachoitwa maridhiano,just wait and see.
CCM wanampenda Mbowe wanapohisi anaweza kudhoofisha misimamo ya CHADEMA lakini jambo ambalo hawako tayari kuona linatokea na kwamba arudi huko CHADEMA kama mstaafu huku aki-support visions na principles za current party leaders. Haya yote wanayasema deliberately kama ku-demoralize spirit ya umoja unaoweza kuanza baada ya wao kukutana msibani na kupata wasaa wa kuongea face to face, they've been through thick and thin together hivyo ku-reconcile genuinely it's very possible and CCM and government in general will fight tooth and nail to make sure that reconciliation isn't happening.
Hizo kelele za UVCCM na ma-constable wa jeshi la polisi wanaamini ndiyo njia ya kuwafanya wasipatane.
 
Ndio mmemdanganya kwamba arudi kivingine kupitia njia hiyo?

Mtashangaa sana, kumbe badi hamshtuki watanzania wa 2026 sio wale mliowazoea kuwafanyia maigizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…