Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

nyerere aliwahi kusema siwezi kuwapa mbwa nchi na tukasema ni tusi
Kweli laana na ujinga ulianza zamani ndio maana Nyerere akaweka km mojawapo ya maadui watatu.Kwa akili ya Nyerere i wazi alijua alichosema,na maana ya mstari km huo ktk Biblia.Alijua kabisa kwamba TZ hakuna uwezekano wala mawazo ya kuwapa mbwa uongozi..kwa hiyo happa Nyerere alimaanisha alichosema kwa binadamu na watz ambao hakuwataka.
 
Wapi wewe na kakudanganya. Ya mkapa na ya ccm pale Jangwani yameisha kuwa historia. Kinachojadliwa sasa ni ziara ya Lowassa kule Congo la Mboto, Chanika na Mbagala.
 
Haha! Na CCM safari hii imepeleka waropokaji mtajadili mtu mwingine na matusi yake huku Magufuli sailing through like the golden boy. So far CCM dictates the pace.
 
Lofa na mpumbavu kwangu ni yule atumiae nafasi/mamlaka aliyopewa katika utumishi wa uma kujimilikisha rasilimali za watanzania.
 
Hivi mkiitwa wapumbafu na malofa mtakataa? Mnatumia mda mwingi kujadili maneno mawili ya Nkapa badala ya kujadili hoja za Magufuli, au mmeona kuongea point tupu mmekosa cha kumkosoa?Punguzeni ULOFA basi
Mkapa mjanja sana kawapoteza maboya kabisa! Hadi kampeni zinaisha watakuwa wanajadili maneno mawili tu yaani Pumbavu na Lofa huku Magufuli akichanja mbuga.
 
Dar rapid transit haioni EL? barabara zote kuu za jiji la dsm zitawekewa lane ya basi za mwendo kasi.
 
Wapi wewe na kakudanganya. Ya mkapa na ya ccm pale Jangwani yameisha kuwa historia. Kinachojadliwa sasa ni ziara ya Lowassa kule Congo la Mboto, Chanika na Mbagala.
Watanzania Hivi tumerogwa na nani? Yaani Ziara ya Lowassa Imeleta nini kwa wakazi wa Gongolamboto kama sio cheap politics? Sasa ndio amepeleka nini kwao kama sio usanii??
 
Watanzania Hivi tumerogwa na nani? Yaani Ziara ya Lowassa Imeleta nini kwa wakazi wa Gongolamboto kama sio cheap politics? Sasa ndio amepeleka nini kwao kama sio usanii??
Du! EL kweli kachemka!!
Hajui hata shida zinazowakabili watanzania hadi leo..?
Research gani unafanyia kwenye daladala ,unakula kiyoyozi??
Wananchi wengi ni wakilima.,
Wenye dhamira ya dhati walibeba matofali na wananchi.;
Waliingia majarubani kulima juani.;
Walichimba visima na wananchi ili kujua adha wazipatazo wananchi (SAFARI ZA KINANA KILA JIMBO).
Leo hii mtu anakula kiyoyozi ,watu wenye akili nyingi wanafurahi eti "kapanda daladala tunazopanda sisi"
Hahahaaa kweli "Ipo shida"!!
Ama kweli Mkapa alikuwa 100% sahihi!!
 
yaani sisi malofa wa ukawa

sasa hivi tunaanza kujadili hii picha ya magufuli jinsi alivyozungukwa na kanda ya ....

 
Ni dhahiri sasa kwamba ccm imejaa watu walio na uwezo mdogo wa kufikiri kama panya. Huwezi kumlinganisha sugu na mkapa.

Mkapa alikua raisi wa Tanzania,sugu ni mbunge wa mbeya mjini,akipoteza ubunge na heshima yake inaishia hapo, mkapa anaendelea kuitwa rais mstaafu hadi maisha yake yote.

Wafuasi wa ccm kichwani mmebeba mavi au akili, jambo dogo tu hilo hamulioni mtawezaje kuelewa kwamba mkapa alifanya utovu wa nidhamu wa kiwango cha juu kabisa.
 
Nilichogundua jana CCM wana kazi kubwa ya kufanya. Kwanza vyombo vya habari na watanzania hawakuwa na muda wa kujadali sera za CCM na ilani yake zilizotangazwa na Magufuli. Hii ni dhahiri kwamba wamechokwa na wananchi wameishagundua kwamba ni watu walewale na sera zilezile ivyo hawana muda wa kupoteza kuzijadili. Pili Mkapa aliwabeba sana watanzania hasa pale alipotumia lugha kali ya kutukana 'wapumbafu'. Alitoa nafasi nyingine ya kujadiliwa yeye na wala si mgombea wake na sera za chama chake. Tatu Lowassa ndo alimalizia kabisa safari yao baada ya kuibuka na safari ambayo nayo ilivuta tention ya watu kwa siku nzima na hivyo watu kujikuta wanaendelea kumdiscuss yeye. Nani anakumbuka Magufuri aliongelea nini hadi watu wakavutika na sasa wanaendelea kumjadili, zaidi sana naona kajitengenezea maswali zaidi. Kwa maoni yangu kwa kete ya jana ikisaidiwa na maneno ya Mkapa wapinzani wamecheza vizuri kwa kuhakikisha Pombe hasikiki.
 

Magufuli alikuwa kazingirwa na kanda maalumu ...

 
Wapi wewe na kakudanganya. Ya mkapa na ya ccm pale Jangwani yameisha kuwa historia. Kinachojadliwa sasa ni ziara ya Lowassa kule Congo la Mboto, Chanika na Mbagala.

Nasikia alienda kutafuta wasanii na ndo ulikuwa ufunguzi wake maana hali ni tete ya kifedha ukawa, Mbowe keshalamba mshiko wake na Mzee siyo liquid tena madeni mengi yanamwamdama. Inamaana ilikuwa guvu ya soda.


Mzee Mtei yupo mbioni kuwasiliana na Lowassa, Lowassa hapatikani kwa muda mrefu kwenye simu, akishalambwa sindano yake inabidi apumzike si chini ya masaa mawili, maana anayoyoma kama teja akishalambwa sindano na kwa mujibu wa habari nilizosoma JF sindano kwake ni kutwa mara 4. ndo maana anatembea kama kuku aliyeugua kideli

Msione kampeni hazijaanza mkafikiri ni taratibu za kampeni, ukata na kizungumkuti cha fedha ndicho kinachofanya hayo yaendelee.

Mwaka wa uchaguzi huu tutasikia na kuona mengi sana.
 
Wanasiasa uchwara ndio wanaosema kuwa Mkapa alitukana watu,lakini mtu makini anaelewa 2azi alisema nini
 

Kweli Mkuu, tukutane Oktoba 25.
 
Mfano mdogo tu. Mtoto wa lofa anafaulu mtihani kuendelea na masomo lakini anaechaguliwa ni mtoto wa mteule. Afanyeje? Kazini ni hivyo hivyo.
 

Makufuli kazingirwa na kanda maalumu ... unajua hii ni kanda gani?

 

Mwenye hekima amekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…