Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

wengi hawajui kuwa kuwa mpumbavu sio tusi, ni neno lenye maudhi tu, kama vile kuwa -----. saying that Mkapa hakutakiwa kulisema kwa ukali vile!dah, jamaa yule ukali hadi anazeeka nao.ndio maana waandishi uchwara wa bongo walikuwa wanamuogopa kuliko.
 
Mkapa has lost his credibility, old boy is gone! zile sifa kedekede, imani na uaminifu tulivyokuwa nazo kwa huyu mzee zimekwisha ktk hali isiyo ya kawaida, haswa ktk hali ya uimarishaji wa demokrasia ya kweli ktk taifa hili. Kwa yeye kuwa ndio perpetrator wa tabia za kihuni kwa kweli imesononesha wengi mno. Mungu ibariki Tanzania na naomba UKAWA wasijibu ktk jazba na ikiwezekana wasizungumzie kabisa upuuzi huo aliouanzisha huyu legend ktk Siasa za hili taifa.
 
Nasikia yuko hivyo, akikorofishana na mkewe asubuhi huwa anatukana watu ovyo, hata ikulu alikuwa hivyo hivyo na hata hiyo jana nasikia ni kwa vile alipewa mic too late, ingekuwa mapema kidogo hata Makufuli angetukanwa tu!
 
Kilimanjaro Larger ya TBL ichunguzwe viwango vyake na TBS. Nasikia ilitembelea jukwaa...
 
Wakuu, huwa najiuliza kwa nini Raisi Mstaafu Mh. Benjameni William Mkapa (a.k.a Mr. Clean) huwa hatunukiwi ile tuzo ya MO inayowahusu Maraisi wastaafu na kusimamiwa na Ahmed Salimu? Labda ni kwa sababu ana Jazba sana au....

Mauaji ya Pemba ni dosari mkuu!
 
Nchi Ya Upumbavu Na Ulofa Itaendelea Kuwa Ya Kipumbavu Na Kilofa Kutokana Na Wananchi Wake Kuwa Wapumbavu Na Malofa
 
Hii ndio hasara ya kuwa-gerentii ulaji watu wenye akili ya kimaskini. Mkapa kabebwa sana hadi kavimbiwa. Hana staha wala ustaarabu. Ana asili ya dharau sana kwa binadamu wenzake anaoona wako chini yake kwa kila hali. Hapo ndipo kidogo utamheshimu JK kama mwanasiasa. Ilibidi Magufuli aseme atawatumikia watu wa vyama vyote bila kubagua. Hata kama unaona watu wengine hazitoshi, si busara kutanguliza kauli za aina hiyo tena kwenye uzinduzi wa kampeni katika uchaguzi wenye ushindani mkubwa.
 
huo ni utumwa mambo leo, huwezi fanyakazi eti kwa ajili ya kutunukiwa tuzo ya MO,
Wakuu, huwa najiuliza kwa nini Raisi Mstaafu Mh. Benjameni William Mkapa (a.k.a Mr. Clean) huwa hatunukiwi ile tuzo ya MO inayowahusu Maraisi wastaafu na kusimamiwa na Ahmed Salimu? Labda ni kwa sababu ana Jazba sana au....
 
MAIGIZO KWENYE MAISHA YA WATU NI DHAMBI MBAYA NA AIMPENDEZI MUNGU.

Mkapa was one of the intellegent president ambae anauwezo mkubwa sana kiufahamu kuwaita SASA LOWASA NA SUMAYE WAPUMBAVU NA MALOFA.

HAKIKA mtu mwerevu akifikia kutumia TERMS za aina hiyo basi ujue kamdharau mhusika kupewa terms hizo yani hana tofauti na yule jamaa wa ile picha iliotoka jamaa anafanya maneno na ile kitambaa ya Ukawa.

Manake mtu kuitwa Mpambavu ni extreme ya wajinga kwa kuwa imemchukua Mzee Mkapa 10 years kumtrain Sumaye aka ZERO ...Lakini with all training on how to be a true Leader bado uziro umetamalaki.

Sasa ona mwingine nae watu wanasubilia utoe llani yenu watu wajue nini mtafanya anaingia kwenye madaladala kwenda kutafuta scrip ya uwezo wa akili yake ya kikomed.

Hata kina joti wanawakilisha ujumbe ..sasa kupanda daladala katika zama za kutoweza hata kupunga mkono leo toka miaka ya Pesa ya kukwapua kwa Baba na kununua Voku...ujapanda daladala leo hii kuja kusanifu maisha ya watu wa chini kama si kumchokoza Mungu si upunguani huo.

Haya kama wanazani maisha ya watu ufanyiwa majaribio msemo wa Mrisho...haya ngoja tuone wao na dhihaka kwa Muumba kupanda na kuenjoy usanii wa kinafiiki na kuwafanya Watanzania wajinga ni watu wa kudanganywa kama watoto wadogo.

Kila mtanzania angependa kuwa na Private Car yake ama usafiri wa umma ulio bora na kisasa usio na msongamano na hivyo mtanzania huyo kwa usafiri wa yeye na familia yake.kuwa wa kistaarabu na afya .

Lakini kwa kuwa MAFISADI wamekwapua na kusafisha cha umma kuwa chao ..sasa wanakufuru kwenda kuwananga kwa roho walio wakwapulia NASEMA MALIPO NI HAPA HAPA DUNIA.

WAO WAENDELEE KUMDHIHAKI MUNGU.
 
Wakati Mh Sana Rais anapowatukana wananchi wake kuwa ni wapumbafu na malofa,bado tunamchekea. Tunamlipia gharama zake kama rais mstaafu,kwa hela za malofa. Sikushangaa Sana,kwani ni katika awamu yake tuliambiwa tule majani(malofa na wapumbafu) ili ndege ya rais inunuliwe. Watanzania tunastahili kuingizwa kwenye kitabu cha maajabu
 
Mwl. Nyerere katika hotuba zake vipande nazosikiaga kupitia ITV Daima "Super Brand Nambari One East Africa" alisikika.

"mtu anavyokuita mpumbavu ni sawa na kukutukana wewe na wazazi wako, hauna akili, taira, yaani kwa kizungu bastard.
Bora angekuita mjinga au fool maana mjinga ni mtu anayeweza kubadilika akifundishwa "
 
Back
Top Bottom