chisagapipi
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 467
- 104
Wakat mwingine tunaiita political dwarfism
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heeeee, Heeee ni tuna masikitiko makubwa kwa kauli ya MATUSI aliyotoa Mh. Rais mstaafu Ben Mkapa jana katika uzinduzi wa kampeni kwa chama tawala (CCM). Alisema wapinzani ni WAPUMBAVU na akarudia ni WAPUMBAVU SANA.
Sasa kwa masharti yaliyotolewa na tume ya uchaguzi ya kutotoa kauli za kuudhi wala kashfa huyu naye mbona alikiuka?
Mzee Mkapa iga mfano kwa Rais mstaafu mwenzio Mzee Mwinyi alivyotoa hotuba ya busara.
Kwa wadhifa wako hukupaswa kutukana kabisa, kwa hapo Mh umekididimiza chama.
Sasa sisi wananchi ni jukumu letu tarehe 25 Octoba,2015 kuondokana na watu wa chama kile kile miaka yoooote toka uhuru ambao hawana lugha nzuri kwa kizazi kijacho.
Jamaaaaaaniii eeeee akili kumkichwa, Oct, 25
Mwalimu Nyerere alitumia neno hili bila shida. Vipi na Sugu Bungeni.wengi hawajui kuwa kuwa mpumbavu sio tusi, ni neno lenye maudhi tu, kama vile kuwa -----. saying that Mkapa hakutakiwa kulisema kwa ukali vile!dah, jamaa yule ukali hadi anazeeka nao.ndio maana waandishi uchwara wa bongo walikuwa wanamuogopa kuliko.
kweli nyinyi ni malofa na wapumbavu hamuelewi hata mueleweshe vipi. Sumaye hajasema anakuja komboa amekuja kuwasaidia kuongoza sababu hamjui.....wapumbavu ni nyinyi
Jana mzee Mkapa alimwaga radhi,CCM nayo ikamwaga radhi.
Mzee niliyemzoea kwa hoja zenye mashiko na takwimu akageuka mlevi asiyejiheshimu.
Kweli ufalme wa CCM umefitinika.Kati ya mambo ambayo kwa muda mrefu yamekuwa yakiitofautisha brand ya CCM na Upinzani ni kule kutumia lugha zenye staha,kuhubiri amani na kuiishi.Jana rasmi CCM imevunja ndoa yake na sifa hizi.
Sasa tunaanza kupata picha tukimtazama Makonda, baadae Nape,Wasira,Kamani,Job Ndugai na sasa Mkapa tunaona CCM mpya inayozaliwa; brand ya ngumi,matusi na lugha za mihemko.
Mimi niwaambie tu,busara na hekima ni tunu ila ujinga hafundishwi mtu.Ni suala la kuamua tu!
Magufuli karibu UKAWA,you are a good manager but not a leader.
BURIANI CCM!
MAIGIZO KWENYE MAISHA YA WATU NI DHAMBI MBAYA NA AIMPENDEZI MUNGU.
Mkapa was one of the intellegent president ambae anauwezo mkubwa sana kiufahamu kuwaita SASA LOWASA NA SUMAYE WAPUMBAVU NA MALOFA.
HAKIKA mtu mwerevu akifikia kutumia TERMS za aina hiyo basi ujue kamdharau mhusika kupewa terms hizo yani hana tofauti na yule jamaa wa ile picha iliotoka jamaa anafanya maneno na ile kitambaa ya Ukawa.
Manake mtu kuitwa Mpambavu ni extreme ya wajinga kwa kuwa imemchukua Mzee Mkapa 10 years kumtrain Sumaye aka ZERO ...Lakini with all training on how to be a true Leader bado uziro umetamalaki.
Sasa ona mwingine nae watu wanasubilia utoe llani yenu watu wajue nini mtafanya anaingia kwenye madaladala kwenda kutafuta scrip ya uwezo wa akili yake ya kikomed.
Hata kina joti wanawakilisha ujumbe ..sasa kupanda daladala katika zama za kutoweza hata kupunga mkono leo toka miaka ya Pesa ya kukwapua kwa Baba na kununua Voku...ujapanda daladala leo hii kuja kusanifu maisha ya watu wa chini kama si kumchokoza Mungu si upunguani huo.
Haya kama wanazani maisha ya watu ufanyiwa majaribio msemo wa Mrisho...haya ngoja tuone wao na dhihaka kwa Muumba kupanda na kuenjoy usanii wa kinafiiki na kuwafanya Watanzania wajinga ni watu wa kudanganywa kama watoto wadogo.
Kila mtanzania angependa kuwa na Private Car yake ama usafiri wa umma ulio bora na kisasa usio na msongamano na hivyo mtanzania huyo kwa usafiri wa yeye na familia yake.kuwa wa kistaarabu na afya .
Lakini kwa kuwa MAFISADI wamekwapua na kusafisha cha umma kuwa chao ..sasa wanakufuru kwenda kuwananga kwa roho walio wakwapulia NASEMA MALIPO NI HAPA HAPA DUNIA.
WAO WAENDELEE KUMDHIHAKI MUNGU.