Wakuu, huwa najiuliza kwa nini Raisi Mstaafu Mh. Benjameni William Mkapa (a.k.a Mr. Clean) huwa hatunukiwi ile tuzo ya MO inayowahusu Maraisi wastaafu na kusimamiwa na Ahmed Salimu? Labda ni kwa sababu ana Jazba sana au....
jana nimekumbuka katuni ya Lodi Lofa, hatari sana