Maisha lazima yaendelee. Huu ujinga wa kususia misiba wakati akiwa hai walikuwa wanapokea michango yake ni upuuzi.wamejiongeza ndo maana mleta mada hajasema wameshindwa kumzika baba yao kisa majirani wamegoma.
Misiba kama hiyo naipenda sana.
Ni kama misiba ya wazungu majuu.
Familia mnaumaliza msiba fasta bila usumbufu na gharama za kulisha watu
Ndo huu ujinga naupinga mia kwa mia,Bunda kijana kafariki wazazi wanaishi huko, eti wakamzika tu ila hawawezi kusaidia familia kuandaa chakula eti marehemu hakuwa anafika msibani , eti mtu anaishi Dar msiba ukitokea awe anaenda kuzika, yaani mie nilichoka wale watu!
Kwann nisife mshuaUwez kufa njaa
Kwa sasa wapo. Unakaa nyumbani wanachimba Kaburi. Kama unajenga wanalijenga. Likikamilika unaita watu wa ibada wanafanya mkiwa na family members shughuli inaisha mnarudi nyumbani mnaendelea na matanga.Ndio maana kuna umuhimu wa kuwepo na yale makampuni ya mazishi hata huku Tanzania.
Jamaa wanahandle kila kitu hadi mourners (watakaolia msibani)
haha wewe sio mtz wa kawaida .anyway in short watz wa kawaida na wa hali ya chini tunakula misibani .maana atleast ndo tumekula vizuri siku hiyoNani kawakwambia kuwa watu wanakuja nakwenda msibani kwa ajili ya kula? Unafikiri watu hawana vyakula majumbani mwao mpaka waanze kusubiri mtu afe ndio wakale. Kwenu wanakufa wangapi kwa wiki mpaka uhisi watu wanakuja kwa ajili ya kula.
Huna akili. Acheni kuvuta mibangi mkiwa na msongo wa mawazo.
Tupo watuKwann nisife mshua
Bia zangu zikowapi ? Hata kusema jamaa nimchekii pale unakula tuu sambusa mwenyw 😃Tupo watu
Uku zipata?Bia zangu zikowapi ? Hata kusema jamaa nimchekii pale unakula tuu sambusa mwenyw 😃
Labda hawataki muingiliano na watu..
Hapana nizipatie wapi ?Uku zipata?
NAKAZIAMisiba kama hiyo naipenda sana.
Ni kama misiba ya wazungu majuu.
Familia mnaumaliza msiba fasta bila usumbufu na gharama za kulisha watu
Makaburini wapo watu wakuzika... wengine wanakuja kufuata umbea tu
WatamrithiMke wake yukwapi? Na yeye hakuwa akihudhuria misiba?