Mzee mmoja alikuwa haudhurii misiba leo kafariki, kinachoendelea hapa naona ni msiba wa familia tu

Mzee mmoja alikuwa haudhurii misiba leo kafariki, kinachoendelea hapa naona ni msiba wa familia tu

Bunda kijana kafariki wazazi wanaishi huko, eti wakamzika tu ila hawawezi kusaidia familia kuandaa chakula eti marehemu hakuwa anafika msibani , eti mtu anaishi Dar msiba ukitokea awe anaenda kuzika, yaani mie nilichoka wale watu!
Ndo huu ujinga naupinga mia kwa mia,
wakati unakuta mtu wa kijijini kwenu akiumwa akapangiwa hospitali tuseme muhimbili,unapigiwa simu.
anafikia kwako,unamhudumia na pengine huko mhimbili hapajui unampeleka n.k
ila ukifa ukapelekwa maiti,wanavuta midomo kwamba huwa huji kuwazika.
 
Kuna jamaa alifariki ndani alikuwa anakaa mwenyewe tu.Basi miswahili ya mtaani ikagoma kwa madai hana ushirikiano ,haudhurii jumuia na blaah blaah kibao.Walikuja dada zake wakaleta catering moja matata sana,wakaenda kubeba mijamaa stand mbona msiba ulinoga.
 
Ndio maana kuna umuhimu wa kuwepo na yale makampuni ya mazishi hata huku Tanzania.

Jamaa wanahandle kila kitu hadi mourners (watakaolia msibani)
Kwa sasa wapo. Unakaa nyumbani wanachimba Kaburi. Kama unajenga wanalijenga. Likikamilika unaita watu wa ibada wanafanya mkiwa na family members shughuli inaisha mnarudi nyumbani mnaendelea na matanga.
 
Naona watu wa kule hawajafika!

Ukifa wako bega kwa bega , bajeti, vikundi, bado bajeti za kunywa mpk wafike kwa marehemu washachoka....

Hiyo jamii ije hapa!

Mkifika kijijini

Mc: wageni kutoka Dar es salaam ndo wamefika nyumbn sasa tuwapokee na supu na bohora
 
Nani kawakwambia kuwa watu wanakuja nakwenda msibani kwa ajili ya kula? Unafikiri watu hawana vyakula majumbani mwao mpaka waanze kusubiri mtu afe ndio wakale. Kwenu wanakufa wangapi kwa wiki mpaka uhisi watu wanakuja kwa ajili ya kula.

Huna akili. Acheni kuvuta mibangi mkiwa na msongo wa mawazo.
haha wewe sio mtz wa kawaida .anyway in short watz wa kawaida na wa hali ya chini tunakula misibani .maana atleast ndo tumekula vizuri siku hiyo
 
Atleast mtoa post hujauliza idadi ya magari maana kuna dada mmoja alivyoona nimetoka msibani kwenye misiba kama hiyo ikabidi aniulize eti kuna magari mengi .Wtz wengi ushamba mwingi .
 
Kuna haja yakuanzisha Kampuni za kufanya mazishi, ili tuache haya mambo ya ujamaa jamaa, Ukifa hata watu wawili wanakuzika tu, lamsingi uzikwe na kulingana na dini yako uliyokuwa unaadudu.

Haya mambo ya nzengo sijui kujuana Juana ni issue za kimasikini wakati mwingine.
 
Sasa kama mtu huudhurii matukio ya kijamii kama hayo na mengine utakuwa unashirikiana na nani? Kuishi ni kushiriki na wengine.
 
Back
Top Bottom