MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
Waite watu wa funeral services, waangushe ng'ombe wawili na kilo 100 mchele kitu kipikwe kisha wawakaribishe majirani kwa lunch pesa si ipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama waliopo wanatosha kumzika hakuna tatizo hapo.Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli zakutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali.
Sasa ya Mungu mengi bwana leo yeye ndio amefariki toka jumatatu. Nyumbani kwake pamewekwa maturubai na ratiba ya mazishi ila hakuna watu..
Bahati mbaya hata watoto wake walimuiga tabia. Wapo wenyewe na ndugu majirani hakuna hata mmoja na watu hawana habari napo ni kama vile hakuna kitu vinaendelea pale kila mtu anaendelea na mambo yake.
Me mwenyew nikifa staki shobo.Umasikini wa kiafrika mnahisi mkirundukina au msiba ukiwa na watu wengi basi kuna maana au ni ufahari.Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli zakutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali.
Sasa ya Mungu mengi bwana leo yeye ndio amefariki toka jumatatu. Nyumbani kwake pamewekwa maturubai na ratiba ya mazishi ila hakuna watu..
Bahati mbaya hata watoto wake walimuiga tabia. Wapo wenyewe na ndugu majirani hakuna hata mmoja na watu hawana habari napo ni kama vile hakuna kitu vinaendelea pale kila mtu anaendelea na mambo yake.
Yes kabisa, sikuhizi kuna funeral services, watatafuta na watu wa kuwalipa hata wasiopungua 10, wanamaliza bila stress ya masufuria ya ubwabwa jikoniIla ni sawa tu maana wasioenda wamewapunguzia gharama wafiwa. Kama familia inajiweza kiasi hapo ni kununua tu jeneza, wakodi watu wachache wa kusaidia kuzika makaburini, siku imeisha.
Huwa tunacomplicate sana misiba
Mnajazana msibani kufanya nini?Nani kawakwambia kuwa watu wanakuja nakwenda msibani kwa ajili ya kula? Unafikiri watu hawana vyakula majumbani mwao mpaka waanze kusubiri mtu afe ndio wakale. Kwenu wanakufa wangapi kwa wiki mpaka uhisi watu wanakuja kwa ajili ya kula.
Huna akili. Acheni kuvuta mibangi mkiwa na msongo wa mawazo.
Msiba mzuri kabisa huo. Sio kwenda kuweka kiwingu misiba ya watu. By the way siku hizi kuna huduma za kukodi mazishini. Kwa hiyo nyie vinyangarika piteni mbali. Msisogee hata kula wali kwenye bufee kumbafMzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli zakutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali.
Sasa ya Mungu mengi bwana leo yeye ndio amefariki toka jumatatu. Nyumbani kwake pamewekwa maturubai na ratiba ya mazishi ila hakuna watu..
Bahati mbaya hata watoto wake walimuiga tabia. Wapo wenyewe na ndugu majirani hakuna hata mmoja na watu hawana habari napo ni kama vile hakuna kitu vinaendelea pale kila mtu anaendelea na mambo yake.
Hana maumivu yoyote hapo alipo; wala hisia; wala haoni; wala hasikii! "Kumkomoa" hakuna maana yoyote unless kama watoto au ndugu zake nao walikuwa na tabia kama yake wanafundishwa namna ya kuishi na watu kupitia kifo cha mzee wao. Ila kama kwa ajili ya marehemu hao wanaofanya hivyo ni wajinga.Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli zakutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali.
Sasa ya Mungu mengi bwana leo yeye ndio amefariki toka jumatatu. Nyumbani kwake pamewekwa maturubai na ratiba ya mazishi ila hakuna watu..
Bahati mbaya hata watoto wake walimuiga tabia. Wapo wenyewe na ndugu majirani hakuna hata mmoja na watu hawana habari napo ni kama vile hakuna kitu vinaendelea pale kila mtu anaendelea na mambo yake.
Mwisho wa siku atazikwa tu.Mzee mmoja amefariki na M/Mungu alimjaalia kweli enzi za uhai wake mali kweli kweli za kutosha, katika kujumuika na nzengo Mzee hakuwa na historia ya kuhudhuria misiba ya wengine na hata kushiriki tu hakuwa anafanya hivyo enzi za uhai wake kabisa na hakuwa anajali.
Sasa ya Mungu mengi bwana leo yeye ndio amefariki toka Jumatatu. Nyumbani kwake pamewekwa maturubai na ratiba ya mazishi ila hakuna watu.
Bahati mbaya hata watoto wake walimuiga tabia. Wapo wenyewe na ndugu majirani hakuna hata mmoja na watu hawana habari napo ni kama vile hakuna kitu vinaendelea pale kila mtu anaendelea na mambo yake.
Kweli kabisa kabisa kabisa mkuu!Misiba kama hiyo naipenda sana.
Ni kama misiba ya wazungu majuu.
Familia mnaumaliza msiba fasta bila usumbufu na gharama za kulisha watu