chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Mie nasema Rais aliyepo ni bora kuliko Magu, Magu alikuwa aeleweki, anataka nini, akiemacho ni tafauti na uhalisia, muonevu (kupotea watu), vunja sheria (Pro Asad-CAG), ant democracy ( Covid-19), lugha mbaya ( watu wakajisaidie kwa mkurugenzi) wizi (uchukuaji fedha account za wafanyabiashara) utesaji (weka ndani Seti/Lugemalila) kupora demokrasia ( chaguzi serikali za mitaa/ wabunge na madiwani) hivyo si kiongozi unapaswa kujivunia!