chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Hongera!Endelea tu na kukariri ujinga. Royal Your is the real deal. Imetutangaza kimataifa kuliko strategy yeyote ambayo imewahi kufanywa previously
magufuli hakuwa na tamaa sawa lakini MAYANGA CONSTRUCTION Iliyojenga chato airport ni mali ya nani?MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele.
“Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa sana , yule mzee aliingia pale hakuwa na tamaa yoyoye aliingia pale kwa niaba ya kuijenga Tanzania na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele” Mzee Mohamed Juma Mkazi wa Unguja, Zanzibar Tanzania.
unamjua brigedia mwakanjuki? alikuwa kisiwani lakini ni wa wapi? unafikiri visiwani hakuna wasukuma?..angekuwa tayari kwa lolote asingejiwekea ULINZI mkubwa kiasi kile.
Duh! Mzee siunajua hii ni free country and no one is above the law. Tuache kuabudu watu na pia kudharau watu.Huyo mzee ni nani katika nchi hii,mnaokota wauza kahawa mnawarekodi wanaongea kwa niaba ya watanzania
Huna ubongo mzee, UK inaongoza kwa reserve kubwa ya Gold, unadhani yote ilichimbwa Scotland? Mabomu anayoringia USA ya Atomic Uranium ilitoka DRC… Tajiri namba moja dunia ni kutoka SA na ameajiri zaidi USA…ndezi…..mbona Jpm alikuwa anatumia pace-maker iliyotengenezwa na mabeberu?
..angekuwa mzalendo wa kweli angekataa pace-maker ya mabeberu na kutumia iliyotengenezwa hapa Tanzania.
unamjua brigedia mwakanjuki? alikuwa kisiwani lakini ni wa wapi? unafikiri visiwani hakuna wasukuma?
elimu, elimu, elimu
hoja yangu ni kwamba hata zanzibar kuna wasambaa. wasukuma, wanyamwezi nk...nielimishe kuhusu hoja unayotaka kuijenga.
..Znz inao watu wengi wenye asili ya Tanganyika mfano ni Brig.Gen.Mwakanjuki aliyehudumu nafasi mbalimbali huko Znz.
..mwingine ambaye ningependa umfahamu ni Edington Kisasi ambaye ni Mtanganyika lakini alihudumu kama mkuu wa polisi Znz.
hoja yangu ni kwamba hata zanzibar kuna wasambaa. wasukuma, wanyamwezi nk.
nimekaa visiwani kwa miaka 10 hakuna sheria zozote zinazo wabagua watu. mtu wa bara akifika visiwani anataka kuishi kama bara tofauti na utamaduni wa kule mfano unywaji wa pombe anywe popote na mengine..nakubaliana na hoja yako.
..lakini yako malalamiko kwamba ziko sheria huko Znz ambazo zinabagua Watanganyika.
..naamini sheria hizo zinapaswa kufutwa.
nimekaa visiwani kwa miaka 10 hakuna sheria zozote zinazo wabagua watu. mtu wa bara akifika visiwani anataka kuishi kama bara tofauti na utamaduni wa kule mfano unywaji wa pombe anywe popote na mengine
kule pombe kule zipo lakini zinanywewa maeneo maalum.
kwakuwa tumezoea holela hapo sie wa bara tuna ita KUBAGULIWA
HAHAHAHaters watasema sukuma gang wapo mpaka visiwani