Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!
Pia amesema kwenye kitabu chake kuwa wengine walikuwa wanamtizama kwa jicho la udini,eti KWA kuwa yeye ni Muislam basi alikuwa anateua viongoz wake kwa upendeleo wa kidini, jambo hilo lilimkwaza Sana, Galatians hawajaanza leo chuki za udini,hata mama samia kaa nao KWA tahadhari,wameshaanza na kwako pia
Bonge moja la kitabu hilo mkuu....Hiyo elfu 70 si afadhali ukanunue kitabu cha jasusi yeriko nyerere!
Isije ikawa hawana uchungu na TanganyikaMimi ni Mkristo,lakini nimefurahia ujio wa Mama pengine ungefikiri niliandaa au nilikunywa mvinyo siku taifa liliootangaziwa msiba wa mwendazake.
Mosi,nilifurahi kwasababu tabia ya mwendazake zilinichosha si dini yake ambayo yamkini mimi na yeye tuna share.
Hii habari ya kuwaita waTanzania wenzako wasio wa dini yako Galatians imejaa ushamba na uhanithi wa kiwango cha SGR.
Kama si mgalatia (Gen Mabeho) unayetaka kumdharau Mama asingekuwa Rais wa JMT.
Rais Mama Samia Suluhu atakosolewa pale atakapokosea bila kujali yeye ni kutoka dini gani.
Rais mstaafu Mzee Mwinyi alikuwa akiteua wazanzibar wengi kuja kufanyakazi huku Tanganyika wakati jambo hilo hilo lilikuwa haliwezekani kufanyika huko Zanzibar.Ilifika wakati hadi RMO hadi RM wa Tanesco wakitolewa huko visiwani wakati uwezo ulikuwa mdogo.
Rais Samia akiwa katika ziara yake huko Kenya alisikika akiidalalia ardhi ya Tanganyika kwa hili siwezi kumuunga mkono nitamkosoa na taratibu naanza ku tazama kwa jicho la taadhari kubwa.
Mkuranga ndio kwao na Hussen mwnyi pia wote ni Mkuranga hawa ni watu walipelekwa kuitawala Zanzibar tu lakini hawana mapenzi na Zanzibar kama Nchi ndio mana Hussen Mwinyi mpaka leo yuko kimya hajaonekana kudai mamlaka ya Zanzibar yaliyopokwa ni mkoloni mweusiKwa hiyo Mzee kiasili siyo Mzenji au baba yake alikuwa Mzenji aliyehamia bara?
Mimi ni Mkristo,lakini nimefurahia ujio wa Mama pengine ungefikiri niliandaa au nilikunywa mvinyo siku taifa liliootangaziwa msiba wa mwendazake.
Mosi,nilifurahi kwasababu tabia ya mwendazake zilinichosha si dini yake ambayo yamkini mimi na yeye tuna share.
Hii habari ya kuwaita waTanzania wenzako wasio wa dini yako Galatians imejaa ushamba na uhanithi wa kiwango cha SGR.
Kama si mgalatia (Gen Mabeho) unayetaka kumdharau Mama asingekuwa Rais wa JMT.
Rais Mama Samia Suluhu atakosolewa pale atakapokosea bila kujali yeye ni kutoka dini gani.
Rais mstaafu Mzee Mwinyi alikuwa akiteua wazanzibar wengi kuja kufanyakazi huku Tanganyika wakati jambo hilo hilo lilikuwa haliwezekani kufanyika huko Zanzibar.Ilifika wakati hadi RMO hadi RM wa Tanesco wakitolewa huko visiwani wakati uwezo ulikuwa mdogo.
Rais Samia akiwa katika ziara yake huko Kenya alisikika akiidalalia ardhi ya Tanganyika kwa hili siwezi kumuunga mkono nitamkosoa na taratibu naanza ku tazama kwa jicho la taadhari kubwa.
Waislamu hatuna utaratibu wa kujiandikia kitabu cha maisha yako eti unaeleza kila kitu humo ndani, haya mambo yameanzishwa kutoka huko upande mwengine hayana umuhimu wowote wala maana yeyote.Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze dini ya kiislamu na aweze kuja kuwa sheikh maarufu.
Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya kiislamu.
Mzee Mwinyi anasema lakini ndoto ya baba yake ya kumuona anakuwa shehe haikutimia kwa sababu alisombwa na upepo wa kisiasa. Lakini Mwinyi anasema yeye ni mwanazuoni.
Kazi Iendelee!
Anaita passive resistance!!! Sasa mrija wa "peni" tunauliekeza MombasaGas inatoka haitoki?
Wewe huwez kuwa na jicho la kumzid president na kusema kwamba alikuwa anateua wanzazibar ambao hawakuwa na sifa kuja kuongoza Tanganyika, besides unajichanganya mwenyewe,
Hakuwateua kuja kuongoza Tanganyika,aliwateua kama Raia wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,na hamkuwa mnachukia kwa kuwa wao ni wazanzibar,mlikuwa mnachukia kwa kuwa wao ni waislam,
Na mzee mwinyi kaliweka hilo kwenye kitabu chake,na Cha AJabu zaid shutuma kama hizo mlianza kuzianzisha kwa huyu mama,sasa tunawaambia ole wenu tuwaskie,tutadeal na nyinyi
Na unaposema kuwa kukuita Galatians ni ushamba,ushamba kivip kwani wewe siyo Mgalatia??
Vip unaikana iman yako leo
Hussein Mwinyi amezaliwa Zanzibar!Mkuranga ndio kwao na Hussen mwnyi pia wote ni Mkuranga hawa ni watu walipelekwa kuitawala Zanzibar tu lakini hawana mapenzi na Zanzibar kama Nchi ndio mana Hussen Mwinyi mpaka leo yuko kimya hajaonekana kudai mamlaka ya Zanzibar yaliyopokwa ni mkoloni mweusi
Vipi mkubwa hajagusia huko lile kofi alokatwa na yule mjamaa?Pia amesema kwenye kitabu chake kuwa wengine walikuwa wanamtizama kwa jicho la udini,eti KWA kuwa yeye ni Muislam basi alikuwa anateua viongoz wake kwa upendeleo wa kidini, jambo hilo lilimkwaza Sana, Galatians hawajaanza leo chuki za udini,hata mama samia kaa nao KWA tahadhari,wameshaanza na kwako pia
Kuwa sio mzanzibar sio siri.Huyu mzee amezeeka sana, sasa anaonyesha kuanzia kupoteza fahamu anaanza kutoa Siri.
Mimi ningependa uwekezaji wa ardhi ufanyike upande mwingine ambao kuna baadhi wanasema umesahaulika.Rais Samia akiwa katika ziara yake huko Kenya alisikika akiidalalia ardhi ya Tanganyika kwa hili siwezi kumuunga mkono nitamkosoa na taratibu naanza ku tazama kwa jicho la taadhari kubwa.
Vipi bwashee hajakumbushia huko lile kofi?Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze dini ya kiislamu na aweze kuja kuwa sheikh maarufu.
Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya kiislamu.
Mzee Mwinyi anasema lakini ndoto ya baba yake ya kumuona anakuwa shehe haikutimia kwa sababu alisombwa na upepo wa kisiasa. Lakini Mwinyi anasema yeye ni mwanazuoni.
Kazi Iendelee!
Ndio maana nasema hakuna siri hapo....Utangulizi au dibaji imeandikwa na Ben Mkapa
Balozi Sefue alisimamia uandishi kwa niaba ya mzee Mwinyi.
Yeye si Rais wa kwanza kushutumiwa juu ya kuteua viongizi wa upande wake. Aache kulialia na wewe kumsaidia kwa kughalagala chini!Umekaa udini kivip, kwenye kitabu chake mzee mwinyi kasema alikuwa anakwazika kwa kuambiwa alikuwa anateua KWA kuwapendelea waislam kwa kuwa tuh yeye ni Muislam,kwani uongo hajasema??
Na kwani ni uongo kuwa nyinyi Tabia hiyo ya kutoa lawama kama hizo mnayo?hapa juzi hata kwa mama samia si mumeanza pia??kumbe Tabia hiyo mmerithi nyinyi kutoka kwa mababu zenu,na mnataka kurithisha kwa wajukuu zenu,muache Tabia ya hovyo hivyo,had mzee kaandika kwenye kitabu,mbadilikeee
Mwinyi hakuwa dhaifu ila aliongoza kipindi kigumu.Huyo Mzee Ruksa aliimega ardhi ya Wamaasai huko Loliondo akawapatia Waarabu ulitaka WaTanganyika tumchekee.
Kitabu chake tayari kina kasoro nyingi ikiwemo eti alifungua uchumi wakati si kweli hata kidogo.
Marehemu Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine alirejesha mahusiano yetu na Kenya bidhaa mbali mbali zikaanza kuingia katika soko la Tanganyika.Waziri Mkuu Salimu A Salimu ndiye aliyefungua mpaka biashara ya mutumba chini ya uongozi wa Mwl Nyerere.
Chini ya uongozi wa Mzee Ruksa siasa za udini ziliasisiwa na vikundi vya ugaidi vilishamiri.Bado tunakumbuka uchomaji wa shule ya Shauritanga na uchomaji wa makanisa.Vita ya KKKT Dayosisi ya Meru yote yalikuwa ni matunda ya uongozi wake dhaifu hadi ukazaliwa ule mtandao wa G55.