Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Sio case wote wameshapitia urais.Hapa tunamzungumzia mzee Mwinyi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio case wote wameshapitia urais.Hapa tunamzungumzia mzee Mwinyi!
Hussein amezaliwa Zanzibar sema tu Mkuranga ni kwa babu zake!Kwahiyo mzee kathibitisha madai ya wanzibar kuws Hussein Mwinyi kazaliwa mkuranga Pwani wakati katiba ya Zanzibar inataka rais mzaliwa wa Zanzibar ?
Hao kina Shaaban Robert ndio wale wa upande uleShaaban Robert:
Maisha yangu na Maisha yangu baada ya miaka Hamsini.
Kama umekusudia kumtaja Mtume Muhammad Sallallahu Alayhi Wasallam yeye kama yeye hakuandika kitabu kwa mkono wake maisha yake yote yamekuja kupitia Quran lakini kusimuliwa na kuandikwa na watu aliokuanao akiiahi nao Maswahaba, Tabii tabiina na kuendelea mpaka habari zake kutufikia mimi na wewe miaka hiiNaona Unabishana na Mwamadi maana na Yeye ana vitabu vingi vinavyoelezea ushujaa wake vitani na pia udhaifu wake kufia mikononi kwa mwanamke Yahud.
Wazanzibar halisi ni Wapemba akina Maalim Self mabaki ya Waarabu kutoka Oman hao wa unguja wengi waliahamia kutoka Tanganyika.
Watajaza umbea sio ukweli kuhusu mwendazake,ukweli anaujua mwendazake na hakuna mtu anaujua ukweli wa mwendazake kuliko yeye mwenyewe binafsi,na kwa kuwa ameenda zake ukweli wake ameenda nao mengine ni kudanganyana tu.Waislamu hatuna utaratibu wa kujiandikia kitabu cha maisha yako eti unaeleza kila kitu humo ndani, haya mambo yameanzishwa kutoka huko upande mwengine hayana umuhimu wowote wala maana yeyote.
Kitabu cha kila mtu kinajulikana kwenye maisha yako automatically wala hakuna haja kuandika, wewe ukifa watu wako wataelezea kila kitu chako ulivyokuwa na kama ulikuwa mtu maarufu ndio kabisa dunia inakutambua kwa kila kitu chako.
Mfano halisi ni Ivi ni mtanzania gani saivi hana kitabu ha mwendazake? au asiyemjua mwendazake, kila mtu ukimuuliza atajaza kurasa tele, ndio mana hakuna haja kuandika haya mambo ambayo wakati mwengine ukweli hutausema lakini watu wanaokujua watasema tu.
Nashangaa hao wanaojishau na uzanzibari na kusahau kuwa karibu robo tatu asili yao ni bara na huko zenj ni wahamiaji tu ,kwani zenj kilikuwa kituo cha majahazi ya wafanyabiashara , ikiwemo biashara ya utumwa ,huko utawakuta akina Mwita, Haule, Karume,Moyo,Mwinyi n.k pia utawakuta Wacomoro akina Salmin,utawakuta wachina,waturuki,waomani. Kifupi Zanzibar ni yetu sote. Labda Watumbatu ndio kidogo wanaweza kujikweza ingawa nao ni wahamiaji wa mwanzo kabisa.Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze dini ya kiislamu na aweze kuja kuwa sheikh maarufu.
Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya kiislamu.
Mzee Mwinyi anasema lakini ndoto ya baba yake ya kumuona anakuwa shehe haikutimia kwa sababu alisombwa na upepo wa kisiasa. Lakini Mwinyi anasema yeye ni mwanazuoni.
Kazi Iendelee!
Kwani uongo?Pia amesema kwenye kitabu chake kuwa wengine walikuwa wanamtizama kwa jicho la udini,eti KWA kuwa yeye ni Muislam basi alikuwa anateua viongoz wake kwa upendeleo wa kidini, jambo hilo lilimkwaza Sana, Galatians hawajaanza leo chuki za udini,hata mama samia kaa nao KWA tahadhari,wameshaanza na kwako pia
Atakayejaza umbea tutaachana naye tutamchukua aliye sahihiWatajaza umbea sio ukweli kuhusu mwendazake,ukweli anaujua mwendazake na hakuna mtu anaujua ukweli wa mwendazake kuliko yeye mwenyewe binafsi,na kwa kuwa ameenda zake ukweli wake ameenda nao mengine ni kudanganyana tu.
umekisoma ukaona hajakili?
Sokoine ilikuwa mwaka gani!! Salim akiwa PM Raisi alikuwa nani....mnajichanganyaHuyo Mzee Ruksa aliimega ardhi ya Wamaasai huko Loliondo akawapatia Waarabu ulitaka WaTanganyika tumchekee.
Kitabu chake tayari kina kasoro nyingi ikiwemo eti alifungua uchumi wakati si kweli hata kidogo.
Marehemu Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine alirejesha mahusiano yetu na Kenya bidhaa mbali mbali zikaanza kuingia katika soko la Tanganyika.Waziri Mkuu Salimu A Salimu ndiye aliyefungua mpaka biashara ya mutumba chini ya uongozi wa Mwl Nyerere.
Chini ya uongozi wa Mzee Ruksa siasa za udini ziliasisiwa na vikundi vya ugaidi vilishamiri.Bado tunakumbuka uchomaji wa shule ya Shauritanga na uchomaji wa makanisa.Vita ya KKKT Dayosisi ya Meru yote yalikuwa ni matunda ya uongozi wake dhaifu hadi ukazaliwa ule mtandao wa G55.
Swala la udini , Kama mdau alivyolalamikaumekisoma ukaona hajakili?
Wewe una umri wa miaka mingapi? Huoni hata aibu? kwa hiyo ilikuwa halari mwalimu amwachie Amini ajitwalie kanda ya ziwa ili tubadiri ramani ya Tanzania sio?Utakuwa ni mtu mjinga tuh kutaka kufananisha uchumi enzi za Urais wa Mwinyi na Nyerere,sababu ni jambo ambalo lipo wazi Sana,
Nchi hii Nyerere aliingiza kwenye umaskin baada ya kuifanya kuwa kitovu Cha vugu vugu la ukomboz wa bara la afrika,nchi nyingi ziliweka kambi hapa na kutumia rasilimali za nchi hii katika harakat zao za ukomboz,bila ya kusahau vita vyake vya kipuuz na Alhajj Idd amin dada wa Uganda,kushindwa kwake KWA sera zake za ujamaa na kujitegemea hadi kupelekea watu kuvaa kaniki na kupanga mistar mirefu kugombania unga wa sembe na sukari,mafuta ya taa n.k
Then uje ubeze juhud za Mzee rukhsa??we nenda zako ukaendelee kuimba kwaya juma pili hii
Pia amesema kwenye kitabu chake kuwa wengine walikuwa wanamtizama kwa jicho la udini,eti KWA kuwa yeye ni Muislam basi alikuwa anateua viongoz wake kwa upendeleo wa kidini, jambo hilo lilimkwaza Sana, Galatians hawajaanza leo chuki za udini,hata mama samia kaa nao KWA tahadhari,wameshaanza na kwako p
Hawezi kuwa mwanazuoni wa kislamu usiwe mdini, ndiyo wanayofundishwaPia amesema kwenye kitabu chake kuwa wengine walikuwa wanamtizama kwa jicho la udini,eti KWA kuwa yeye ni Muislam basi alikuwa anateua viongoz wake kwa upendeleo wa kidini, jambo hilo lilimkwaza Sana, Galatians hawajaanza leo chuki za udini,hata mama samia kaa nao KWA tahadhari,wameshaanza na kwako pia
Hawezi kuwa mwanazuoni wa kislamu usiwe mdini, ndiyo wanayofundishwa
Tunaangalia idadi ya wasomi kati yenu na sisi😀. Fanya utafiti kidogo uweze kujenga hoja yenye mashikoBy the way,what's the meaning of the so called term UDINI??
Definition ya udini,in a very broad perspective ni ...pale ambapo nchi hii,anapotokea mtawala Ambae ni muislam,akaanza majukumu yake ya kazi na hususan anapounda serikali yake,akiteua tuh wasaidizi wake ambao kwa namna moja ama nyingine wakawa Wana shahabiana na uislam vile vile basi mtawala huyo huitwa mdini..,so to say that udini ni kile kitendo Cha huyo mtawala kuwachagua tuh viongoz ambao wanatokana na iman yake,hata kama wateule wa iman nyingine wakiwa 20 na waislam wakawa just 15 huyo lazima ataitwa mdini,sasa hatuelewi christians especially radical christians wanataka nchi hii waislam wasihudum kwenye teuzi zozote?why islamophobia?Kwan hao waislam wanadeliver au wanafail kwenye hizo nafas?what makes those christians to fear the Muslims had waanze kulalamikia hizo teuzi??
Mwinyi ni Mzaramo wa Mkuranga.Kwa hiyo Mzee kiasili siyo Mzenji au baba yake alikuwa Mzenji aliyehamia bara?