Mzee Mwinyi: Baba yangu alinipeleka Zanzibar ili nikajifunze dini (Q'uran) ili niwe Sheikh maarufu, nilitokea Mkuranga

Naona Unabishana na Mwamadi maana na Yeye ana vitabu vingi vinavyoelezea ushujaa wake vitani na pia udhaifu wake kufia mikononi kwa mwanamke Yahud.
Kama umekusudia kumtaja Mtume Muhammad Sallallahu Alayhi Wasallam yeye kama yeye hakuandika kitabu kwa mkono wake maisha yake yote yamekuja kupitia Quran lakini kusimuliwa na kuandikwa na watu aliokuanao akiiahi nao Maswahaba, Tabii tabiina na kuendelea mpaka habari zake kutufikia mimi na wewe miaka hii
 
Wameanza kukiri, Alianza Natepe na Mwinyi amefatia
 
Watajaza umbea sio ukweli kuhusu mwendazake,ukweli anaujua mwendazake na hakuna mtu anaujua ukweli wa mwendazake kuliko yeye mwenyewe binafsi,na kwa kuwa ameenda zake ukweli wake ameenda nao mengine ni kudanganyana tu.
 
Nashangaa hao wanaojishau na uzanzibari na kusahau kuwa karibu robo tatu asili yao ni bara na huko zenj ni wahamiaji tu ,kwani zenj kilikuwa kituo cha majahazi ya wafanyabiashara , ikiwemo biashara ya utumwa ,huko utawakuta akina Mwita, Haule, Karume,Moyo,Mwinyi n.k pia utawakuta Wacomoro akina Salmin,utawakuta wachina,waturuki,waomani. Kifupi Zanzibar ni yetu sote. Labda Watumbatu ndio kidogo wanaweza kujikweza ingawa nao ni wahamiaji wa mwanzo kabisa.
 
Kwani uongo?
 
Watajaza umbea sio ukweli kuhusu mwendazake,ukweli anaujua mwendazake na hakuna mtu anaujua ukweli wa mwendazake kuliko yeye mwenyewe binafsi,na kwa kuwa ameenda zake ukweli wake ameenda nao mengine ni kudanganyana tu.
Atakayejaza umbea tutaachana naye tutamchukua aliye sahihi
 
Sokoine ilikuwa mwaka gani!! Salim akiwa PM Raisi alikuwa nani....mnajichanganya
 
Wewe una umri wa miaka mingapi? Huoni hata aibu? kwa hiyo ilikuwa halari mwalimu amwachie Amini ajitwalie kanda ya ziwa ili tubadiri ramani ya Tanzania sio?
Kama huijui historia ya nchi hii kaa kimya pls maana unatapika nyongo iliyovunda kuweza kutapisha wengine kwa uozo wake.
 

Hawezi kuwa mwanazuoni wa kislamu usiwe mdini, ndiyo wanayofundishwa
 
Hawezi kuwa mwanazuoni wa kislamu usiwe mdini, ndiyo wanayofundishwa

By the way,what's the meaning of the so called term UDINI??

Definition ya udini,in a very broad perspective ni ...pale ambapo nchi hii,anapotokea mtawala Ambae ni muislam,akaanza majukumu yake ya kazi na hususan anapounda serikali yake,akiteua tuh wasaidizi wake ambao kwa namna moja ama nyingine wakawa Wana shahabiana na uislam vile vile basi mtawala huyo huitwa mdini..,so to say that udini ni kile kitendo Cha huyo mtawala kuwachagua tuh viongoz ambao wanatokana na iman yake,hata kama wateule wa iman nyingine wakiwa 20 na waislam wakawa just 15 huyo lazima ataitwa mdini,sasa hatuelewi christians especially radical christians wanataka nchi hii waislam wasihudum kwenye teuzi zozote?why islamophobia?Kwan hao waislam wanadeliver au wanafail kwenye hizo nafas?what makes those christians to fear the Muslims had waanze kulalamikia hizo teuzi??
 
Tunaangalia idadi ya wasomi kati yenu na sisi😀. Fanya utafiti kidogo uweze kujenga hoja yenye mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…