Mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Hayati Magufuli, walisifiwa, walikosolewa! Haki ya kusifu/kupongeza iende sambamba na haki ya kukosoa!

Magufuli alikosolewa na Wana ccm? Pili Kuna kukosoa na kukejeli..

Bunge lililopita bila Shaka umeona ukoeoaji lakini Bashiru kakosoa au kakejeri na kuchochea wakulima wawe wakaidi na wahaini.

Team "anaupiga mwingi"

Team "tunashukuru tunashukuru tunashukuru"

Kuna limoja liliwahi kumshukuru mama kwa kuamka salama na kupata fursa ya kuchangia...

Ikiwa sioni cha kusifia, au sioni cha kushukuru kwakua vyote ni haki yangu na sio hisani za huyo mama yenu, ninakuwa na makosa?

Mambo ya hovyo kabisa
 
Nani alikwambia huwezi kukosoa ukiwa ndani ya chama?,wewe ni mpumbavu,angalia USA,mtu yupo republican lakini anasapoti democratic kwa maslahi mapana ya taifa lao,unachangia ujinga sana wewe doho
 
Makini sana
 
Still you are talking nonsense
 
Makini sana hawa ndio kundi la majuha linalotusumbua kisa ukongwe jukwaani
 
Endelea kumkandamizia juha huyo
 
Sio kweli.
JPM hakuna aliyewahi kumkosoa akabaki salama.
Mtu hata media zote Tanzania alizuia zisirushe habari za mpinzani wake kipindi cha uchaguzi ndiye useme alikosolewa?
 
Naunga mkono hoja. Bashiru ana haki ya kikatiba kukosoa kama ambavyo wengine wana haki kikatiba kusifia.

Asiyekosea ni BWANA MUNGU peke yake(HE is infallible). Sisi Binadamu wote tunakosea na huyo Rais Samia ni mwanadamu kama mwanadamu mwingine(she is fallible like other human beings).

Wanaomshambulia Dr Bashiru kwa kumkosoa Rais Samia ni wanafiki tu wakisiasa kama walivyo wanafiki wengine(crass hypocrisy).
 

Kama kweli kuna haki ya kikatiba kukosoa kwa nini maandamano hayaruhusiwi?
 
Shida yako unaongea bila reference.Hivi kipindi Hussen Bashe anakosoa kuhusu sera za kilimo ndani na nje ya Bunge wewe ulikuwa haujazaliwa??Kwa taarifa kilichompa uwaziri Bashe sio uchawa kama vijana wapumbavu wa sasa wanavyodhani,kilichompa uwaziri ni critical critism na ndio Magufuli vijana aliowataka.
 
Kwann unaamini Kuongea Kwa Bashiru Nia ni kunufaisha kundi lake binafsi!

Mbona kauli ya Bashiru imepokelewa vizuri sana na WANANCHI wasio na vyama?

Me naamini ametusemea. Mzee butiku na Warioba wamesema pia, ni kundi Gani, na motive Gani?

UKWELI hujisimamia, na utasemwa tu😠😠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…