Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,408
Hujaelewa. Nafasi za ugombea binafsi ni systemic - Urais, ubunge, udiwani, uwenyekiti wa Mitaa na vijiji et la. Tafsiri ya ugombea binafsi ni kuwa hata wagombea kupitia vyama vya siasa ni potentially wagombea binafsi kwa kuwa nafasi walizochaguliwa zitatambuliwa kuwa ni zao kupitia vyama vyao; wakifukuzwa au kujiondoa kwenye vyama, wanaendelea na uwakilishi/unogozi wao kama watu binafsi. Hiyo ndio demokrasia!Pili ugumu wa kufanya kazi akishinda.Mfano kashinda uraisi halafu wabunge wote wanatoka kwenye chama.Aweza pigiwa kura ya kutokuwa na imani naye wakati wowote na akatolewa madarakani.Pia aweza kwamishwa na walio wengi bungeni na kwenye watendaji