Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa mjini versus Baba. Patachimbika.
Matakataka tu, hamna ushahidi wowote hapo, siasa za hovyo tu
Hizo ni dosari kubwa kama hazi kuonekana mapema lazma zitaathiri matokeo yao, ila kwa Kenya nao jua jopo la ma jaji lazima litagawanyika, ita depend nani mwenye idada kubwa ya majaji kwenye jopoNimeiona hiyo petition ni ya kisiasa hakuna content ya maana.
Kwa mahesabu ya Raila anasema Ruto kapata 49.997% ya valid votes.
Kwanini kachagua three decimals na sio two decimals . Its Obvious anajua mwenyewe kuwa inampa faida yeye.
Kwa matokeo hayo ya Raila ukiweka kwenye two decimals Ruto anapata 50%.
Anadai matokeo ya counties 27 hayakujumuishwa kwenye matokeo ya jumla. Je matokeo haya yanaweza kuathiri matokeo ya jumla??
Anadai kuwa kuna raia wa kigeni walikamatwa na vifaa vyenye access ya network ya IEBC na vifaa hivyo vimekamatwa pia.
Sasa kama culprits wametiwa nguvuni na vifaa vyao, hii inaathiri vipi matokeo ya jumla??
Je kuna ushahidi wa mifumo ya IEBC kuingiliwa.
Anadai kura za Rais , gavana,wabunge na wawakilishi wa wanawake zinatofautiana.
Nani kasema ni lazima zote ziwe sawa. Mpiga kura halazimishwi kuchagua wagombea wa nafasi zote , anaweza chagua mtu anayemtaka. Akaondoka zake.
Variance nyingi ni human error tu hakuna makosa makubwa kiasi cha kusema kwamba hapa hawa watu wamedhamiria kupora uchaguzi.
Wala hakuna error kubwa za kuweza kuinvalidate the whole election.
Binafsi sioni Raila akishinda hii kesi kama jopo la majaji wakituliza akili.
Hakuna dosari kubwa hapo hata moja.Hizo ni dosari kubwa kama hazi kuonekana mapema lazma zitaathiri matokeo yao, ila kwa Kenya nao jua jopo la ma jaji lazima litagawanyika, ita depend nani mwenye idada kubwa ya majaji kwenye jopo
Katika sharia hamna kinachoitwa evidance ndogo, killing 1 person is equal to killing 50persons, thats law adhabu ni moja tu woteHakuna dosari kubwa hapo hata moja.
Zote zimekuwa coated tu.
Maamuzi huwa yanafanyika kwa errors kubwa ambazo haziwezi kuvumilika na zinazoweza epukika.
Hakuna uchaguzi ambao utakosa makosa madogo madogo wala hakuna uchaguzi perfect 100%.
na hili ndio tatizo kubwa la ndugu zetu hao, hata tume yao ibec ni kichekesho pia, maana haina uhuru wowote wanaojigamba nao!Hizo ni dosari kubwa kama hazi kuonekana mapema lazma zitaathiri matokeo yao, ila kwa Kenya nao jua jopo la ma jaji lazima litagawanyika, ita depend nani mwenye idada kubwa ya majaji kwenye jopo
Huo mfano ni tofauti na aina ya kesi inayozungumziwa hapa.Katika sharia hamna kinachoitwa evidance ndogo, killing 1 person is equal to killing 50persons, thats law adhabu ni moja tu wote
Ni kweli 100% ukabila u-pronvice wa Kenya una compromise sana justice and equality kila idara imegawanyika along such divisions democrancy yao ni sweetcoated and fragile ila hamna lolote, unakuta professor wa Kenya can't reason out well kwasabb ya tribal links yake na mhusika..........some time unasema angalau Tz na raia wetu illiterate and uninformed wapo wapo tu.na hili ndio tatizo kubwa la ndugu zetu hao, hata tume yao ibec ni kichekesho pia, maana haina uhuru wowote wanaojigamba nao!
Mkuu unaona kama kujumlisha kura na kuongeza kura ni kosa dogo kweli sheria yao ina hitaji mshindi apate 50%+1 kura sasa huyu alipata 49.999 kwa hiyo hiyo 0.01 ni insignificant kweli? hata angepata 50% net bira additional ya kura 1, lazima chaguzi irudiwe, tunacho subiria hapa ni jinsi watakavo kisheria ila tayari iyo dosari inatosha sana ku-nulfy uchaguzi huoHuo mfano ni tofauti na aina ya kesi inayozungumziwa hapa.
Ishu hapa ni kama hiyo tofauti ni kubwa kiasi gani kuweza kunullify matokeo..
Hakuna uchaguzi ambao hauna makosa madogo madogo.
Ukichukua huo mfano wako mshindi hata patikana milele.
Kila uchaguzi utakua unarudiwa.
Mzee kaamua kujaribu bahati yake kortini.
MK254
Hiyo sio Wakenya hawana misimamo ya kisiasa wanaongoza na viongozi wao wakikabila uchaguzi ukitangazwa vikundi vipya vitaundwa na wakikishe mtu wao anapita wala hawangalie manifesto ya mtu.........Huyu mzee japo nampenda ila kama hana ushahidi asitupotezee muda na taharuki zisizokua na tija, Ruto kesha anza kujichimbia tayari kwa kushawishi wanasiasa ambao wanahamia kwake, kwamba hata tukirudia uchaguzi atashinda tu, keshakaa mkao wa urais.