1. Sio county 27 ni majimbo 27, yenye kura zaidi ya laki 5!! How can you say hayatoshi kubadili mshindi?
2. IEBC inakiri kulikua na hacks zaidi ya 200 ila haijataja kina nani walihusika na hatua zipi zilichukuliwa so hiyo itaibuliwa mahakamani.
3. Hujaongelea variation ya kura laki 5 kati ya kura za gavana,ubunge n.k VS za Urais. Yaani watu laki 5 wachague Rais ila wasichague wabunge au gavana? Sasa swali linakuja zike karatasi 5 zinawekwa wapi maana tayari zinakua na muhuri!! Kama zinahesabika zimeharibika je idadi hiyo mbona haiko reflected kwenye spoilt votes au stray votes?
4. Uchaguzi ni process so kama Kuna procedure imerukwa inaweza athiri final results mfano kuna waliopinga kura bila kusajiliwa na Kiems kit kwa hiyo kura zao zikiwa na variance na jumla ya kura zote hapo kuna walakini.
Uchaguzi ni process sio tukio, kama ambavyo 2017 kura haikuibiwa ila process ya verification ilirukwa na uchaguzi ukafutwa wotee!! Na kwa hali ilivyo tutegemee maamuzi yoyote ila kwa Kenya hata 0.1 inaweza sababisha uchaguzi ufutwe maana kama tallying ya national ikikosewa sembuse ya kituoni!! Yaani 0.1 ikosewe kwenye vituo 48,000 utasemaje ni minimal error in a larger scale??