Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo yote yalitangazwa BOMAS kasoro ya majimbo 27 yaliyosalia, hii mbona Iko public tu you can cross check hata kupitia google tu Issue ni je sheria inaruhusu hili au lah?Na hao wanaosema hawaku verify matoeo ya majimbo 27 ni wale makamishna 4 ambao ni famba wasiojua hata hesabu, kila kitu kilikuwa verified
Sasa hapo wameonyesha nini? Wametaja kutofautiana, kwenye huo ushahidi wao wa lori zima wameonyesha?Petition umeisoma kweli?View attachment 2335153
Yalitangazwa kwenye vyombo vya habari? Au kutangazwa vipi?Matokeo yote yalitangazwa BOMAS kasoro ya majimbo 27 yaliyosalia, hii mbona Iko public tu you can cross check hata kupitia google tu Issue ni je sheria inaruhusu hili au lah?
Yaani 27 counties bado huoni kama zinaweza kubadilisha matokeo? Umejiridhisha kwanza kuona tofauti ya kura ya Ruto na Raila? alafu ukaangalia hizo 27 counties zilikuwa na wapiga kura wangapi waliojiandikisha?Nimeiona hiyo petition ni ya kisiasa hakuna content ya maana.
Kwa mahesabu ya Raila anasema Ruto kapata 49.997% ya valid votes.
Kwanini kachagua three decimals na sio two decimals . Its Obvious anajua mwenyewe kuwa inampa faida yeye.
Kwa matokeo hayo ya Raila ukiweka kwenye two decimals Ruto anapata 50%.
Anadai matokeo ya counties 27 hayakujumuishwa kwenye matokeo ya jumla. Je matokeo haya yanaweza kuathiri matokeo ya jumla??
Anadai kuwa kuna raia wa kigeni walikamatwa na vifaa vyenye access ya network ya IEBC na vifaa hivyo vimekamatwa pia.
Sasa kama culprits wametiwa nguvuni na vifaa vyao, hii inaathiri vipi matokeo ya jumla??
Je kuna ushahidi wa mifumo ya IEBC kuingiliwa.
Anadai kura za Rais , gavana,wabunge na wawakilishi wa wanawake zinatofautiana.
Nani kasema ni lazima zote ziwe sawa. Mpiga kura halazimishwi kuchagua wagombea wa nafasi zote , anaweza chagua mtu anayemtaka. Akaondoka zake.
Variance nyingi ni human error tu hakuna makosa makubwa kiasi cha kusema kwamba hapa hawa watu wamedhamiria kupora uchaguzi.
Wala hakuna error kubwa za kuweza kuinvalidate the whole election.
Binafsi sioni Raila akishinda hii kesi kama jopo la majaji wakituliza akili.
Ndio, hayo maboksi Yana 34A zote ambazo ziko verified vs ambazo ziko kwa portal, so wanachosema hizo 41 (Kumbuka ni sample tu ila zipo zaidi ya hizo) zimekinzana kati ya IEBC portal na form za vituoni.Sasa hapo wameonyesha nini? Wametaja kutofautiana, kwenye huo ushahidi wao wa lori zima wameonyesha?
Hayakutangazwa BOMAS, uchaguzi wa 2017 among other things ulifutwa sababu ya makosa kama hayo ya kutangaza matokeo bila kumaliza verification ya forms zote.Yalitangazwa kwenye vyombo vya habari? Au kutangazwa vipi?
Na aliyesema hayakutangazwa Bomas ni Raila sio? Na ukamuamini?Hayakutangazwa BOMAS, uchaguzi wa 2017 among other things ulifutwa sababu ya makosa kama hayo ya kutangaza matokeo bila kumaliza verification ya forms zote.
Kesi ikianza nguruma tutaona mengi sana, ila kwa hali ilivyo kuna dalili uchaguzi either ukaenda run off au ukafutwa kabisa.
Ndio, hayo maboksi Yana 34A zote ambazo ziko verified vs ambazo ziko kwa portal, so wanachosema hizo 41 (Kumbuka ni sample tu ila zipo zaidi ya hizo) zimekinzana kati ya IEBC portal na form za vituoni.
pia data za Kiems kit zinakinzana kwenye voter turnout.
pia kuna ushahidi kuwa IEBC portal zilikua hacked 22 times (Hata Chebukati alikiri ila hakutoa details zaidi)
pia kuna disparity kati ya voter turnout iliotangazwa siku uchaguzi umeisha na siku matokeo yametangazwa.
Kuna gap ya kura laki mbili kati ya waliopiga kura manually + Kiems Kit (yaani ukijumlisha hayo makundi mawili kuna balance ya kura laki 2 ambazo IEBC haija account zilipigwa kwa manual au Kiems kit maana hazina trace)
Huu ndio ushahidi wa msingi alio nao Raila
Kwanini ujipe kazi ya kutoa maamuzi? achia SCOK watatoa majibu sahihi.Maana hapa ni kama unadismiss hakuna hoja za msingi wakati SCOK wameridhia.Hivi matokeo yakija kuwa sivyo ulivyotegemea utatuambia nini?Fomu zipi hazikuwa verified? Mi nazungunzia fomu 34A ambazo ndiyo fomu kutoka vituoni na ndio msingi wa matokeo yote kwenye fomu nyingine
Fomu 34A kuna copy zake zote online ambazo mtu yoyote unaweza kujumlisha na kupata matokeo na hardcopy za 34A zote zilipelekwa Bomas na pia mawakala wa Odinga walipewa, kama kuna uchakachuaji wowote wangesema ni wapi
Nimesoma huo ushahidi wao wa awali hakuna sehemu yoyote ambayo wameonyesha matokeo ya kwenye 34A yamebadilishwa tofauti na walipewa mawakala wao
Petition nimeisoma mkuu, kwenye petition hakuna ushahidi wowote kuwa kuna utofauti wa matokeo ya fomu 34A zilizopo kwenye server na zilw hardcopy, hakuna.!
Hiyo ya mount Kenya ulikosema, wanachodai wao ni kuna kaunti ya Kirinyaga ambapo matokeo ya kura za urais yalikuwa na total votes nyingi zaidi ya 22,000 kuliko total votes za ugavana, kitu ambacho nacho ni uwongo kura zimewekwa wazi, za urais na ugavana zinatofautiana kwa 900 pekee
Kutokuwa na mawakala hilo ni kosa lake mwenyewe na sio proof kuwa aliibiwa kura
Na hao wanaosema hawaku verify matoeo ya majimbo 27 ni wale makamishna 4 ambao ni famba wasiojua hata hesabu, kila kitu kilikuwa verified
Aisee,unatamani ungekuwa Hon Koome ili utupilie mbali hii kesi.Bahati mbaya sana huna hayo mamlaka na itabidi utulie kama Ruto alivyotulia akisubiri hatma ya 'ushindi' wake SCOKHuu ndio ushahidi wa msingi alio nao Raila
Kimsingi ni ushahidi dhaifu sana
Mbona media zote ziliripoti Hilo, ingia YouTube uone kama Kuna final tally ya remaining 27 34Bs.Na aliyesema hayakutangazwa Bomas ni Raila sio? Na ukamuamini?
Mkuu,huyu ndugu yetu atakuwa na ugomvi personal na Mzee Raila si bure.Mbona media zote ziliripoti Hilo, ingia YouTube uone kama Kuna final tally ya remaining 27 34Bs.
Kura za wagombea zilikaribiana sana hivyo final tally ya remaining 27 34Bs ilikuwa lazima/muhimu.Mbona media zote ziliripoti Hilo, ingia YouTube uone kama Kuna final tally ya remaining 27 34Bs.
Pro Ruto hii fact hawataki kabisa kuisikiaKura za wagombea zilikaribiana sana hivyo final tally ya remaining 27 34Bs ilikuwa lazima/muhimu.
Maamuzi ya SCOK yanaegemea zaidi kwenye mazingira jumla ya uchaguzi pamoja na masilahi mapana ya taifa my friend.Huu ndio ushahidi wa msingi alio nao Raila
Kimsingi ni ushahidi dhaifu sana