Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hadi IEBC commissioners wanamtetea baba uchaguzi umechakachuliwa.Haijawahi kutokea. Chebukati mkuu wa iebc amefeli kwenye majukumu yake aisee.
Tusubiri tuone Mahakama itakavyo fikia uamuzi.Matakataka tu, hamna ushahidi wowote hapo, siasa za hovyo tu
Hao azimio ukiwauliza maswali ya msingi hawawezi kujibu
Moja ni fomu za matokeo kutoka vituo vyote vya kura 46,229 zote zipo online na wao pia walipewa nakala
Sasa kati ya fomu hizo zote, ni fomu zipi, za kituo gani ambazo zimeonyesha matokeo ya uwongo ?