Kenya 2022 Mzee Odinga Kaamua: Kwa hizi Evidence Ruto Atapona kweli?

Kenya 2022 General Election
Akubali matokeo maisha mengine yaendelee, ila Ruto ampe cheo kwenye uongozi wake.
 
Na hao wanaosema hawaku verify matoeo ya majimbo 27 ni wale makamishna 4 ambao ni famba wasiojua hata hesabu, kila kitu kilikuwa verified
Matokeo yote yalitangazwa BOMAS kasoro ya majimbo 27 yaliyosalia, hii mbona Iko public tu you can cross check hata kupitia google tu Issue ni je sheria inaruhusu hili au lah?
 
Matokeo yote yalitangazwa BOMAS kasoro ya majimbo 27 yaliyosalia, hii mbona Iko public tu you can cross check hata kupitia google tu Issue ni je sheria inaruhusu hili au lah?
Yalitangazwa kwenye vyombo vya habari? Au kutangazwa vipi?
 
Yaani 27 counties bado huoni kama zinaweza kubadilisha matokeo? Umejiridhisha kwanza kuona tofauti ya kura ya Ruto na Raila? alafu ukaangalia hizo 27 counties zilikuwa na wapiga kura wangapi waliojiandikisha?
Pia umeujua huo ushahidi ulioko kwenye hayo box yaliowasilishwa?
Waachie mawakili wapambane kuishawishi mahakama na hatimaye majaji 7 waamue kwa mjibu wa sheria ya uchaguzi ya Kenya
 
Sasa hapo wameonyesha nini? Wametaja kutofautiana, kwenye huo ushahidi wao wa lori zima wameonyesha?
Ndio, hayo maboksi Yana 34A zote ambazo ziko verified vs ambazo ziko kwa portal, so wanachosema hizo 41 (Kumbuka ni sample tu ila zipo zaidi ya hizo) zimekinzana kati ya IEBC portal na form za vituoni.

pia data za Kiems kit zinakinzana kwenye voter turnout.

pia kuna ushahidi kuwa IEBC portal zilikua hacked 22 times (Hata Chebukati alikiri ila hakutoa details zaidi)

pia kuna disparity kati ya voter turnout iliotangazwa siku uchaguzi umeisha na siku matokeo yametangazwa.

Kuna gap ya kura laki mbili kati ya waliopiga kura manually + Kiems Kit (yaani ukijumlisha hayo makundi mawili kuna balance ya kura laki 2 ambazo IEBC haija account zilipigwa kwa manual au Kiems kit maana hazina trace)
 
Yalitangazwa kwenye vyombo vya habari? Au kutangazwa vipi?
Hayakutangazwa BOMAS, uchaguzi wa 2017 among other things ulifutwa sababu ya makosa kama hayo ya kutangaza matokeo bila kumaliza verification ya forms zote.

Kesi ikianza nguruma tutaona mengi sana, ila kwa hali ilivyo kuna dalili uchaguzi either ukaenda run off au ukafutwa kabisa.
 
Na aliyesema hayakutangazwa Bomas ni Raila sio? Na ukamuamini?
 
 
Kwanini ujipe kazi ya kutoa maamuzi? achia SCOK watatoa majibu sahihi.Maana hapa ni kama unadismiss hakuna hoja za msingi wakati SCOK wameridhia.Hivi matokeo yakija kuwa sivyo ulivyotegemea utatuambia nini?
 

Inaonekana umeahidiwa kuwa PS wa Ruto,maana si bure kuwatolea povu Makamishina wanne kiasi hiki [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…