Matakataka tu, hamna ushahidi wowote hapo, siasa za hovyo tu
Hao azimio ukiwauliza maswali ya msingi hawawezi kujibu
Moja ni fomu za matokeo kutoka vituo vyote vya kura 46,229 zote zipo online na wao pia walipewa nakala
Sasa kati ya fomu hizo zote, ni fomu zipi, za kituo gani ambazo zimeonyesha matokeo ya uwongo ?