Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzetu wahindi, waarabu na wapemba huanza kushirikisha watoto biashara toka wakiwa watoto wanakuwa na wazazi bega kwa bega kwenye biashara na hivyo kupelekea watoto kupenda sana biashara toka wakingali wadogoRIP. Wanawezaje kutunza na kukuza utajiri vizazi hadi vizazi?
Mungu aiweke roho mahala stahimilivuMzee Said Mohamed ambaye ni Baba Mzazi wa Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) amefariki dunia alfajiri ya leo Machi 1 2022 na anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioni kwenye makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
Marehemu Mzee Said ni Mfanyabiashara wa muda mrefu Tanzania ambapo alianzisha biashara ya kwanza mwaka 1955 kwa kuuza bidhaa ndogondogo Tanga lakini baadaye alihamia kuuza nguo na kuhama kutoka Tanga hadi Songea ambako alijitanua katika kilimo cha korosho ambacho Familia yake imekiendeleza hadi leo.
Marehemu Mzee Said alistaafu mwaka 1996 na kuruhusu kizazi kilichofuatia kuchukua usukani wa kila siku wa biashara na kuamua kuhamia Dar es Salaam na kuwa wasambazaji wakubwa wa mazulia ya PVC ndani ya Tanzania na nchi jirani.
Ghalib Said Mohamed (GSM) ni mdhamini wa Klabu ya Yanga ambapo amekuwa na msaada mkubwa miaka ya hivi karibuni tangu alipoanza uwekezaji klabuni hapo.
View attachment 2134807View attachment 2134808
Baba mkwe wakeBila kusahau pole kwake HAJI MANARA aka BUGAT!
Duuu! Hizo kanzu wanafulia maji ya mvua? Mbona nyeupe sana?Mzee Said Mohamed ambaye ni Baba Mzazi wa Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) amefariki dunia alfajiri ya leo Machi 1 2022 na anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioni kwenye makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
Marehemu Mzee Said ni Mfanyabiashara wa muda mrefu Tanzania ambapo alianzisha biashara ya kwanza mwaka 1955 kwa kuuza bidhaa ndogondogo Tanga lakini baadaye alihamia kuuza nguo na kuhama kutoka Tanga hadi Songea ambako alijitanua katika kilimo cha korosho ambacho Familia yake imekiendeleza hadi leo.
Marehemu Mzee Said alistaafu mwaka 1996 na kuruhusu kizazi kilichofuatia kuchukua usukani wa kila siku wa biashara na kuamua kuhamia Dar es Salaam na kuwa wasambazaji wakubwa wa mazulia ya PVC ndani ya Tanzania na nchi jirani.
Ghalib Said Mohamed (GSM) ni mdhamini wa Klabu ya Yanga ambapo amekuwa na msaada mkubwa miaka ya hivi karibuni tangu alipoanza uwekezaji klabuni hapo.
View attachment 2134807View attachment 2134808
Ngozi nyeusi ubinafsi unatusumbua mnoo....! Sijui tumerogwa na naniWenzetu wahindi,waarabu na wapemba huanza kushirikisha watoto biashara toka wakiwa watoto wanakuwa na wazazi bega kwa bega kwenye biashara na hivyo kupelekea watoto kupenda sana biashara toka wakingali wadogo
Wazee wa kiswahili biashara ni kama uchawi hashirikishi watoto wawe wadogo au wakubwa ni yeye na biashara zake hata mke tu unakuta hajui ndio maana ilifa unakuta na biashara inakufa
Wenzetu si hasubiri afe wa ndipo watoto warithi biashara!!! La akiwa yuko hai akijizeekea anastaafu anakabidhi watoto
Unaona Azam watoto wameishika mzee kastaafu ukienda mzee Dewji Kakaa umri umeenda pembeni kamwachia mwanae Mohamed Dewji au Mo aendeshe kampuni hata wafe Leo wazee hao watoto wanamudu kuendesha tena kwa nguvu kubwa kuliko walivyoendesha wazazi wao
Ni Saad mohamed na sio said mohamed
Mzee Said Mohamed ambaye ni Baba Mzazi wa Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) amefariki dunia alfajiri ya leo Machi 1 2022 na anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioni kwenye makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
Marehemu Mzee Said ni Mfanyabiashara wa muda mrefu Tanzania ambapo alianzisha biashara ya kwanza mwaka 1955 kwa kuuza bidhaa ndogondogo Tanga lakini baadaye alihamia kuuza nguo na kuhama kutoka Tanga hadi Songea ambako alijitanua katika kilimo cha korosho ambacho Familia yake imekiendeleza hadi leo.
Marehemu Mzee Said alistaafu mwaka 1996 na kuruhusu kizazi kilichofuatia kuchukua usukani wa kila siku wa biashara na kuamua kuhamia Dar es Salaam na kuwa wasambazaji wakubwa wa mazulia ya PVC ndani ya Tanzania na nchi jirani.
Ghalib Said Mohamed (GSM) ni mdhamini wa Klabu ya Yanga ambapo amekuwa na msaada mkubwa miaka ya hivi karibuni tangu alipoanza uwekezaji klabuni hapo.
View attachment 2134807View attachment 2134808
Pole sana. Mungu akupe nguvu na moyo wa uvumilivu.Siku ya leo hii....yaani nimeamka nasikiliza wimbo wa GK tutakukumbuka daima milele mara unaisha tuu simu inaingia ya kuondokewa na binamu yangu hapo Muhimbili.
Usikate tamaa lakini usiwaibie wenzako Wala usiiibie serikali na mwisho kabisa achana na utajiri wa kumwaga damu za ndugu zako wa karibu a.k.a utajiri wa kikinga na kingoni.Kweli nina safari ndefu ya kutengeneza kizazi tajiri
Nadhani ni tabia tu na uamuzi wa mhusika, SIYO suala la utaifa - eti mhindi au mwarabu au mpemba! Waafrika wengi na Watanzania wengi tu, wamerithisha watoto wao biashara na wanaendesha vizuri tu. Sikutajii majina au familia, nakuachieni wewe na wana JF wengine mlifanyie hili utafiti.Wenzetu wahindi,waarabu na wapemba huanza kushirikisha watoto biashara toka wakiwa watoto wanakuwa na wazazi bega kwa bega kwenye biashara na hivyo kupelekea watoto kupenda sana biashara toka wakingali wadogo
Wazee wa kiswahili biashara ni kama uchawi hashirikishi watoto wawe wadogo au wakubwa ni yeye na biashara zake hata mke tu unakuta hajui ndio maana ilifa unakuta na biashara inakufa
Wenzetu si hasubiri afe wa ndipo watoto warithi biashara!!! La akiwa yuko hai akijizeekea anastaafu anakabidhi watoto
Unaona Azam watoto wameishika mzee kastaafu ukienda mzee Dewji Kakaa umri umeenda pembeni kamwachia mwanae Mohamed Dewji au Mo aendeshe kampuni hata wafe Leo wazee hao watoto wanamudu kuendesha tena kwa nguvu kubwa kuliko walivyoendesha wazazi wao
Ona unapata kigugumizi kuwataja hata watatu waswahili wa kutolea mfano !!! Sababu ni almost hawapo!!!Nadhani ni tabia tu na uamuzi wa mhusika, SIYO suala la utaifa - eti mhindi au mwarabu au mpemba! Waafrika wengi na Watanzania wengi tu, wamerithisha watoto wao biashara na wanaendesha vizuri tu. Sikutajii majina au familia, nakuachieni wewe na wana JF wengine mlifanyie hili utafiti.
Mimi binafsi naamini katika generational wealth creation.Wengine tukiwaona leo tunafikiri wamekuwa billionaires overnight!
Saad nadhani ni yule kaka yao mkubwa aliekatili hadi kumwagia tindikali enzi za kikwengaNi Saad mohamed na sio said mohamed