TANZIA Mzee Said Mohamed (baba yake GSM) afariki dunia
Thank you for this vital information.
LABDA ni kwasababu sijaona wakazi wa huku usweken Kimara wakizikwa pale ndio maana nilidhani pale ni ushuani
Hata Hamza alizikwa kisutu.
 
Wenzetu wahindi, waarabu na wapemba huanza kushirikisha watoto biashara toka wakiwa watoto wanakuwa na wazazi bega kwa bega kwenye biashara na hivyo kupelekea watoto kupenda sana biashara toka wakingali wadogo

Wazee wa kiswahili biashara ni kama uchawi hawawashirikishi watoto wawe wadogo au wakubwa ni yeye na biashara zake hata mke tu unakuta hajui ndio maana akifa unakuta na biashara inakufa

Wenzetu hasubiri afe na ndipo watoto warithi biashara!!! La akiwa yuko hai akijizeekea anastaafu anakabidhi watoto
Unaona Azam watoto wameishika mzee kastaafu ukienda mzee Dewji Kakaa umri umeenda pembeni kamwachia mwanae Mohamed Dewji au Mo aendeshe kampuni hata wafe Leo wazee hao watoto wanamudu kuendesha tena kwa nguvu kubwa kuliko walivyoendesha wazazi wao
Una biashara yoyote hadi leo? Usilaumu bila kuwa na uzoefu wowote.
 
Mzee Said Mohamed ambaye ni Baba Mzazi wa Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) amefariki dunia alfajiri ya leo March 1 2022 na atazikwa leo saa kumi jioni kwenye makaburi ya Kisutu Dar es salaam.

Marehemu Mzee Said ni Mfanyabiashara wa muda mrefu Tanzania ambapo alianzisha biashara ya kwanza mwaka 1955 kwa kuuza bidhaa ndogondogo Tanga lakini baadae alihamia kuuza nguo na kuhama kutoka Tanga hadi Songea ambako alijitanua katika kilimo cha korosho ambacho Familia yake imekiendeleza hadi leo.

Marehemu Mzee Said alistaafu mwaka 1996 na kuruhusu kizazi kilichofuatia kuchukua usukani wa kila siku wa biashara na kuamua kuhamia Dar es Salaam na kuwa Wasambazaji wakubwa wa mazulia ya PVC ndani ya Tanzania na nchi jirani.

View attachment 2134826
Pichani ni mzee Said Mohammed(Katikati) akiwa na wanae wawili
Hizo korosho alikuwa analima Songea ipi mkuu,kwa maana Songea hawalimi korosho, korosho zinalimwa Tunduru,Songea ni wilaya yenye baridi na milima, na korosho hulimwa sehemu za joto na zilizo tambalale.
 
Inna li Llahi wa Inna ilayhi Rajiun.
Huyo itakuwa ni Mzee Saad, nijuavyo, Said ( Saidi Mahonda) ni nduguye Ghalib.
Umechemsha,kujifanya unajuana na waislam maarufu wote mjini,
 
Nimesema fanya utafiti wako! Kama hutaki kujituma na kufanya utafiti wako - BASI!
Nilishaufanya utafiti sana tu nikupe mfano wa karibu?

Tajiri mkubwa mswahili Reginald Mengi alimpa hakuwapa watoto wake wakubwa kuendesha kampuni kabla ya kufa alibakia yeye tu kakomaa kama mkurugenzi mtendaji wakati ana mitoto mikubwa na imesoma vizuri sana hakustaafu kuachia watoto wakati kazeeeka hadi basi
Matokeo kampuni mirathi inasumbua !! Mzee hakuacha succession plan yeyote
Mumiliki tajiri wa Mahoteli makubwa mswahili mumiliki wa mahoteli ya kimataifa kama Ngurudoto nk shida hiyo hiyo mzee alizeeka hakukabidhi kwa watoto kuwa managing Directors .Kafariki kaacha shida biashara zinakufa

Zaidi ya Tajiri mengi wewe unaongelea wafanyabiashara machinga au?

Ndio maana nikwakwambia taja Walau waswahili watatu tu wafanyabiashara wakubwa wa mfano ambao wako vizuri kwenye hilo
 
Mzee wa COCACOLA pale Mwanza anaendesha biashara hiyo, pamoja na biashara nyingine nyngi na watoto na wajukuu wake ; sijui kama unafahamu hilo. Akisepa wataendesha wao. Mwingine, kwa mfano tu, ni Mzee Sykes! Hata Mzee Rupia! Hiyo ni mifano michache ya kutukuka!
 
Naomba Jina lake ni verify hizo taarifa kwa walioko Mwanza sababu hiyo cocacola Mwanza owners hakuwa mmoja wakati inaanzishwa

Kuhusu familia ya Mzee Rupia sio kweli wengi waliishia kuwa wafanyakazi serikalini tu vibarua walipwa mshahara mwisho wa mwezi

Nyerere hadi katibu mkuu wake alikuwa Rupia

BIASHARA gani ya mzee Sykes iko hai na ina perform vizuri sasa hivi .Ipi ? Ziko hoi .Kuanzia Sykes Travel choka mbaya
 
Nadhani hoja hapa ni "KUWARITHISHA" siyo zinavyo fanya kazi au zinavyo PERFORM! Kwa mantiki hiyo basi, wako Waswahili walio warithisha watoto wawe mali - kama hawakuziendeleza, hiyo ni hoja nyingine. Wa Mwanza ni Gachuma.
 
Back
Top Bottom