YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Ni ajabu sana unakuta kampuni kubwa inakufa mikononi mwa hicho kizee kikongwe cha kiswahili wakati kina mitoto kibao tena mingine misomi mikubwa imeajiriwa tu na huko inategemewa sana kwa uwezo waoHiyo ndio moja ya tafauti kubwa kati ya watu wa ngozi nyeupi na watu wa ngozi ya kiza. Yani mzee alistaafu miaka 25 nyuma akaachia wanawe waendeleze biashara. Mzee wa kiafrika mtoto hua anapata tabu sana hata baba akiwa na mkwanja. Yeye bado hujiona ndio anaakili nyingi hata kama zama zake zimeshapita.
Lakini kizee kinakomaa tu kuendesha kinawaona watoto wajinga chenyewe ndio zimo