Thank you for this vital information.
LABDA ni kwasababu sijaona wakazi wa huku usweken Kimara wakizikwa pale ndio maana nilidhani pale ni ushuani
Hata Hamza alizikwa kisutu.
 
Una biashara yoyote hadi leo? Usilaumu bila kuwa na uzoefu wowote.
 
Hizo korosho alikuwa analima Songea ipi mkuu,kwa maana Songea hawalimi korosho, korosho zinalimwa Tunduru,Songea ni wilaya yenye baridi na milima, na korosho hulimwa sehemu za joto na zilizo tambalale.
 
Inna li Llahi wa Inna ilayhi Rajiun.
Huyo itakuwa ni Mzee Saad, nijuavyo, Said ( Saidi Mahonda) ni nduguye Ghalib.
Umechemsha,kujifanya unajuana na waislam maarufu wote mjini,
 
Nimesema fanya utafiti wako! Kama hutaki kujituma na kufanya utafiti wako - BASI!
Nilishaufanya utafiti sana tu nikupe mfano wa karibu?

Tajiri mkubwa mswahili Reginald Mengi alimpa hakuwapa watoto wake wakubwa kuendesha kampuni kabla ya kufa alibakia yeye tu kakomaa kama mkurugenzi mtendaji wakati ana mitoto mikubwa na imesoma vizuri sana hakustaafu kuachia watoto wakati kazeeeka hadi basi
Matokeo kampuni mirathi inasumbua !! Mzee hakuacha succession plan yeyote
Mumiliki tajiri wa Mahoteli makubwa mswahili mumiliki wa mahoteli ya kimataifa kama Ngurudoto nk shida hiyo hiyo mzee alizeeka hakukabidhi kwa watoto kuwa managing Directors .Kafariki kaacha shida biashara zinakufa


Zaidi ya Tajiri mengi wewe unaongelea wafanyabiashara machinga au?

Ndio maana nikwakwambia taja Walau waswahili watatu tu wafanyabiashara wakubwa wa mfano ambao wako vizuri kwenye hilo
 
Mzee wa COCACOLA pale Mwanza anaendesha biashara hiyo, pamoja na biashara nyingine nyngi na watoto na wajukuu wake ; sijui kama unafahamu hilo. Akisepa wataendesha wao. Mwingine, kwa mfano tu, ni Mzee Sykes! Hata Mzee Rupia! Hiyo ni mifano michache ya kutukuka!
 
Naomba Jina lake ni verify hizo taarifa kwa walioko Mwanza sababu hiyo cocacola Mwanza owners hakuwa mmoja wakati inaanzishwa

Kuhusu familia ya Mzee Rupia sio kweli wengi waliishia kuwa wafanyakazi serikalini tu vibarua walipwa mshahara mwisho wa mwezi

Nyerere hadi katibu mkuu wake alikuwa Rupia

BIASHARA gani ya mzee Sykes iko hai na ina perform vizuri sasa hivi .Ipi ? Ziko hoi .Kuanzia Sykes Travel choka mbaya
 
Nadhani hoja hapa ni "KUWARITHISHA" siyo zinavyo fanya kazi au zinavyo PERFORM! Kwa mantiki hiyo basi, wako Waswahili walio warithisha watoto wawe mali - kama hawakuziendeleza, hiyo ni hoja nyingine. Wa Mwanza ni Gachuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…