Mimi sizijui jitahada za huyo Coyi,Kazi ya kukuza vipaji huwa ina lawama sana. Mzee Shayo ni mpuuzi mwenye wivu. Hakuna asiyejua jitihada za Coy nchini Tanzania.
HakikaWote matapeli tuu na hawana wanachochekesha,washukuru ni vile tuu watanzania wa kipato cha kati hawana mahala pa kupotezea muda
Coyi mzungu Kuna watu anawachekesha?Kwa hiyo huyu Mzee Shayo kuna watu wanakaa kabisa anawachekesha... ila hii nchi ina vichwa vya ajabu sana.
Hii Serikali haramu yale mabilioni ya content creators ndo yanafanya kaziKwa mtu asiye mjua coy Anaweza kumwamini shayo. Ila wote tuneona
Nae ni kundi mojaCoyi mzungu Kuna watu anawachekesha?
Mkuu uko sahihi. Hata mimi nimejiona mjinga kwa kuingia mtego wa kukoment haraka. Hawa wasanii waongo kuliko wanasiasaMbona kama kunakitu kimepangwa hapa...!!!
Kamuulize mama yako. Anajua jitihada za CoyMimi sizijui jitahada za huyo Coyi,
Vijana gani ambao vipaji vyao vimekuzwa naye huyo Coyi?
Kwa Tanzania ili uonekane umesaidia mtu ni mpaka uwe una mgharamia mtu maisha yake yote ndivyo walivyokaririshwa na huu ujinga hupo hata kwa wasanii waliosainiwa kwenye hizi record labels akishasainiwa kwenye label anataka label idili mpaka matatizo yake ya familia ndio anaona label yake inamsaadaKwenye maisha kama ukifanya kitu halafu utegemee ulio wasaidia wakushukuru, utaumia sana mara nyingi hurudisha matusi na kejeli. Platform aliyo ianzisha Coy imewapa vijana maisha, leo tunawaona akina Ndaro, Leonard, Aza boi,Obama nk na kuwafanya wapate mahitaji ya msingi. Kukosea na kukwazana kupo,ila huwezi kulinganisha na impact ya Coy kwenye maisha ya hawa vijana, kwani kupitia Platform ya Coy leo wengi wana maisha kupitia hizi social platforms ambazo zinawalipa kwa fan base waliyo ipata kupitia jukwaa alilo lianzisha Coy.
Nimuambie MamaSamia amenituma?Kamuulize mama yako. Anajua jitihada za Coy
😆Wote matapeli tuu na hawana wanachochekesha,washukuru ni vile tuu watanzania wa kipato cha kati hawana mahala pa kupotezea muda
UbepariNachukia sana tabia ya wawekezaji/matajiri wanawalipa hela ndogo wafanyakazi wao halafu faida kubwa wanaenda kuitapakanya kwa matumizi ya lavish/flamboyance.
Kuna Tajiri wa Arusha nimeona naye ameongea utumbo kwamba yeye amepata faida ya bilioni 90 sasa atazifanyia nini kwanini asinunua gari la milioni 500?
Ni ujinga sana wa mtu anaingiza faida ya mabilioni halafu staffs wake anawalipa laki 3 hadi laki 5 ni tabia za uchoyo/umimi ,kama umepata faida kubwa kwanini usiwapandishie mishahara wafanyakazi wako? Kwanini usiwape Bonus ili mshare faida?
Sasa huuyo Coy ananunua gari la milioni 120 na kupanga nyumba ya laki 6 halafu staffs wake wengi wamemkimbia kwa kuwalipa hela kiduchu ,huo ni wizi na utapeli...Mzee Shayo ameongea ukweli ,ni tabia sana wa matajiri.
Ukienda kwa MO Enterprises au SSB kote huko ni kuwalipa kuduchu sana wafanyakazi wake huku wao wakiingiza mabilioni ,atleast GSM nimesikia sifa zake huwa anatoa Bonus kwa staffs wake hata wa ngazi ya chini.
Mkuu niliwahi kuwaza kwanini watu huwa wanafurahishwa na hawa wachekeshaji, nikagundua ni culture. Unajua kuna utani unaweza kumchekesha mtanzania ila usimchekeshe mzungu.Hizi anga mimi sipo kabisa. Tanzania sidhani kuna usanii au u-comedian wenye kuweza kunishawishi mimi kuangalia. Huko mitaani vijiweni sana. Kna watu wachekeshaji kweli kweli, tena wana vipaji. Hawa wa online wana-force
Aliwekeza pesa likiwa lishakuwa jukwaa kubwa mkuu.Coy mzungu alileta idea ya kuanzisha jukwaa la Cheka tu stand up comedy.
Diamond akawekeza pesa kwenye hiyo idea.