Joseeleunyo
Member
- Oct 17, 2019
- 90
- 58
Kwa hawa watu walioshiba hela za serikali ambao kesho utasikia wamerudi CCM dawa yao ndiyo hiyoUchaguzi uliofanyija Jioni hii Kibaha Pwani wa kumpata mwenyekiti wa Kanda ya pwani, Chadema umekanilika
Kwa nafasi ya Mwenyekiti, Mgombea alikuwa Mzee Sumaye Peke yake ndipo zikapigwa kura za Ndio au hapana
Matokeo: Kura za Ndio kwa Mzee Sumaye ni 28, na kura za Hapana ni 48
Hivyo, nafasi ya Mwenyekiti bado iko wazi!