Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 740
kaishia wapi sasaSasa mbona lowassa alipewa nafasi??
kaishia wapi sasaSasa mbona lowassa alipewa nafasi??
Aisee. Kumbe sikulifahamu hili. Kwa hiyo Sumaye atashindana na Mbowe kiti Taifa. Tuone kama kweli kutakuwa na demokrasia.Ndiyo, inawezekana.
Yule niwaziri mkuu mstaafu hivyo kikatiba anatkiwa kulindwa .Mbona tulikuwa naye kwenye mahafali ya OUT tena alikuja na Escort.ya Polisi naona ameshawaacha solemba!
Hahahaha,wanamwogopa.
Sasa mbona lowassa alipewa nafasi??
Hakuna kitu,ni mtego alioweka Mwenyekiti wa maisha ili apite kwa kishindo kwenye uenyekiti wa SACCOS yake,wale wote ambao anawaona ni hatari kwake huanza kuwafanyia mizengwe,wajumbe wataambiwa mtu aliyekosa hata uenyekiti wa kanda atauweza wa taifa.Sumaye alisahau kuwa SACCOS ya Kaskazini ina wenyewe,mkwe na mkwewe.Chadema demokrasia iko dhahiri
Aje apumzike kwa kweli huko anazidi kupata aibu.Duh...!, kama kakataliwa Kanda tuu, huku mimi nilishauri ampokee Mbowe, then ni bora tuu arejee nyumbani!.
P
Wamefanya nini? Hawana loloteNaona CCM washafanya yao
Pole unasubiri embe kwenye mtende jangwani. Unajua sometimes mnamjaribu Mungu sana kuomba yasiyowezekanaSafi sana,hii ndo demokrasia.I wish wamkatae Mbowe pia.
Hatuwezi kumpa dhamana kubwa wakati wale wa karibu yake wanapokea maagizo toka mbawa za tai.Duh...!, kama kakataliwa Kanda tuu, huku mimi nilishauri ampokee Mbowe, then ni bora tuu arejee nyumbani!.
P
Kosa kurudia kosaChadema Wana double standards .Lowasa alipoingia chadema kwa kuwa alikuwa na pesa hakupigiwa kura za ndio au hapana kukubaliwa kugombea uraisi
Kanda nzima wapiga kura 76 tu?!Uchaguzi uliofanyija Jioni hii Kibaha Pwani wa kumpata mwenyekiti wa Kanda ya pwani, Chadema umekanilika
Kwa nafasi ya Mwenyekiti, Mgombea alikuwa Mzee Sumaye Peke yake ndipo zikapigwa kura za Ndio au hapana
Matokeo: Kura za Ndio kwa Mzee Sumaye ni 28, na kura za Hapana ni 48
Hivyo, nafasi ya Mwenyekiti bado iko wazi!
Duh...!, kama kakataliwa Kanda tuu, huku mimi nilishauri ampokee Mbowe, then ni bora tuu arejee nyumbani!.
P
Mbona tulikuwa naye kwenye mahafali ya OUT tena alikuja na Escort.ya Polisi naona ameshawaacha solemba!
Na ndio imemponza hiyo. Amejijengea uadui na wenye chama.
Kwani ilikuwa lazima ashinde? CCM watu wa ajabu sana, mnakuja na story zenu za ajabu ajabu!Ni nani alimshauri Mzee Sumaye kuhamia CHADEMA?
Hakujua kuwa CHADEMA ina mwenyewe? Ninapatwa na wasiwasi kuhusu IQ yake!
Unamtingisha Mbowe halafu unategemea kubaki na cheo ndani ya chama chake! Thubutu!
Ninamuhurumia sana huyu Mzee!
Baada ya Uchaguzi ndani ya CHADEMA kuna uwezekano wa kufukuzwa au kuondoka CHADEMA hasa ikichukuliwa kuwa amechukua fomu kupambana na Mbowe katika kiti cha Mwenyekiti Taifa!
Uchaguzi uliofanyija Jioni hii Kibaha Pwani wa kumpata mwenyekiti wa Kanda ya pwani, Chadema umekanilika
Kwa nafasi ya Mwenyekiti, Mgombea alikuwa Mzee Sumaye Peke yake ndipo zikapigwa kura za Ndio au hapana
Matokeo: Kura za Ndio kwa Mzee Sumaye ni 28, na kura za Hapana ni 48
Hivyo, nafasi ya Mwenyekiti bado iko wazi!